MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Wewe ndugu yetu upo salama kabisa.Ninalaani hiki kitendo kama ni kweli.
We Joni, umekuwaje?Mbona wewe hujauawa? ๐ผโ๏ธ
Tutasema ukweli mpaka mwisho, usidhani kila mtu ni chawa.Afadhali, umezidi kuwaachia members wanaomtukana rais, nimefurahi sana yaani
Sawa kaka.Difficult to guess๐ค
Kheee..!! Akaunti imehakiwa.Ninalaani hiki kitendo kama ni kweli.
Madako yakoUldhani umejificha?
Heshima ni kitu cha bure Siasa siyo uadui
N'kwei N'gosiHope hujatoa pasword mkuu...
Vinginevyo utwambie map3ma tujue pa kukimbilia...
Iko wapi?Ndio Maana brittanicca alitaka kumtonya maana alimwita Pm
Unalaani wapi chawa weweNinalaani hiki kitendo kama ni kweli.
Kwamba mmoja aende akachungulie?๐Aliyepo jirani na head office Mikocheni,tunaomba atupe update zaidi
Sasa wanawatafuta wanaomsema mama vibaya,Tena wanaupiga mwingi TL yuko jela
๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ pamoja naweSawa kaka.
Heshima yako.
Mnapenda sana kutafuniwa.Iko wapi?
Max si muhayaHuyo mmiliki wa jf max some time huwa ni kiburi sana ana dharau sana member wa JF
Ndio๐Kwamba mmoja aende akachungulie?๐