Nikusisitizie tena mara ya mwisho. Wewe hukunippa kadi ya kuwa mwanachama wa CHADEMA. Huna sababu yoyote ya kunitambulisha kuwa mwana CHADEMA.Haya πβοΈ
Inadaiwa.Unasema anayesakwa n Melo Afu hapo hapo unasema mwenye taarifa kamili ailete, sasa Ww hizo taarifa za melo umepata wapi?
Halafu wanaogopa,ukitukana wakubwa jiandaeJana mlifukua thread ya May, ya yule bonge. Kuna watu walivuka mipaka, walikuwa wakitoa maneno mazito sana.
NonsenseDah. Poleni sana. Itakuwa Polepole huyo
Umejuaj mkuuInadaiwa anayesakwa ni Melo.
Mwenye Taarifa kamili ailete hapa haraka
britanicca ashaenda kujificha mkuu, huwezi kumuona humubritanicca what is going on mkuu dakika kadhaa hapa umemwita Melo PM
π€£π€£π€£π€£π€£Hope hujatoa pasword mkuu...
Vinginevyo utwambie map3ma tujue pa kukimbilia...
Britanicca,na pia uzushi wa kuzua taharuki umekua mwingi,mara mtu atakufa July,mara September,mara hatogombea,mara itakua kama march 2021Kuna member hum jf ana hoja zinafanana kabisa na polepole.. huyo ndo wanamtaka π€£
Mbaya sana aiseee.!!MEDIA House zote Tanzania kimya kuripoti habari hii ya kustua, kama vile mwenzao ambaye ni chombo cha habari hajakumbwa na uvamizi
Hali hii ya vyombo ya habari ku 'mute' ina dalili mbaya kwa uhuru wa vyombo ya habari na kukosa utetezi kutoka ndani ya tasnia / sector ya habari
Wanataka kumpuliza huku, britanicca na polepole wanaenda kihoja,misimamo,imanibritanicca ashaenda kujificha mkuu, huwezi kumuona humu
Ndiyo vizuri,uhuru hatuuweziMbaya sana aiseee.!!
Tunarudi enzi za Jiwe
Pugu baada ya kona ya chanika kushotoNa kila muasi uchague mwenyewe sehemu ya kupelekwa ili ubanwe vizuri. Kama ni misitu ya Mabwepande, Ununio, TAZARA, O'bay shimoni, Stakishari, na wapi kule according to britanicca? π
Wapo ofisini kweli,kama hali hiyo imetokea?? ,tuzidi kuwaombea tatizo lolote lisiwapate.ngoja JAMII CHECK watujuze
Utakimbilia wapi sasa? πΉHope hujatoa pasword mkuu...
Vinginevyo utwambie map3ma tujue pa kukimbilia...