Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Kwani wapi ninesema nataka uthibitisho kuwa Melo kavamiwa?

Unaelewa kuwa tulimpigania Melo alivyoshikikiwa na Polisi tangu utawala wa Kikwete?

Unaelewa kuwa mini na Mwanakijiji nxio tulioongoza jitihada za kuwajulisha The Committee for Protection of Journalists wakakinukisha mitandao mikubwa dunia nzima mpaka Kikwete akawaambia wale askari wake wamuachie Melo, yeye hana shida na hao vijana kina Melo, ana shida na nchi yake kuchafukiwa mitandaoni kuwa inami ya uburu wa habari?

Hili suala ambalo mimi nalijua na kulifuatilia tangu enzi za urais wa Kikwete, unasema nidai ushahidi leo?
 
Mi nahisi ile topic ya britanicca ya mama kutaka kudaiwa uroda na mwendazake imemgusa kunako bi mdashi...teheeee teheeee bibi we usitufungie jukwaa letu pendwaaaaa wake za watu wanaongoza kwa kugawa uroda maofisini.....!
 
Nimefuatilia comment nyuma naona mimi ndiye sikuelewa mada..
Kumbe mlikuwa mnazungumzia mambo ya Adam na Eve..

Sorry mkuu🙇‍♂️ nikajua unataka uthibitisho wa Melo kukamatwa..
 
Kaka kiranga heshima kwako, nafurahi kukuona humu tena.. maana imekua muda Sasa.
 
Hii nchi ina maigizo sana, mpaka leo hakuna cha maana wakichokifanya kumtafuta mdude lkn mtu kikosoa serikali inakua nongwa, tutafika mbinguni tuko hoi sana
 
Hii taarifa mbona kwenye vyombo vya habari haijasambaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…