Mayalla ana hali gani mida hii baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

Arudishe milioni 2 aliyopewa na kina Mdee kuwa mpiga debe mitandaoni.
 

Huyo alipata kura sifuri Hana la maana .
 
Tumsamehe bure Pascal Mayalla kwani si yeye. Ni NJAA
 
Demokrasia bro ndio iko hivyo
 
P popote ulipo fanya kama unajikuna tukuone tafadhali Kwa maslahi ya taifa,bila kusahau na katiba ya warioba ipo jikoni karibu kuja mezani🚶
 


JF Ni mahala Pa hoja. Acha utoto wa kufikiria tofauti. Yeye sio mahakama. Unadhani Ma analaka na kuota kesi Hii. Demokrasia ndo matunda ya hoja sio kushinda au kushindwa. Acha kusutana Ni Utoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…