Mayalla hana shida maana ameshalipwa mamilioni ya pesa zetu kushabikia uonevu.Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!
Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?
Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
Aliandika maoni yake kama ww ulivyoandika ya kwako, demokrasia ni kuheshimu mawazo ya wengine hata Kama ni kinyume na ya kwakoHuyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!
Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?
Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
Kwani nimekataa? Nimeuliza swali kama yeye anavyoulizaga!Aliandika maoni yake kama ww ulivyoandika ya kwako, demokrasia ni kuheshimu mawazo ya wengine hata Kama ni kinyume na ya kwako
Huo ndo Uhuru wa kutoa maoni
mayalla huwa anajipendekeza sana kwa system sema system yenyewe haijawahi kumwelewaHuyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!
Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?
Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
Halafu alitaka awe mbunge wa kaweMayala maana yake ni Njaa, hata Msukuma mwenzake alimjua jinsi alivyo mnafiki na mwenye njaa.
Lakini si ndio Wabunge wote wa CCM walivyo?!Halafu alitaka awe mbunge wa kawe
Mayalla is the someone who find something from unknown place let's look as it is.Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!
Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?
Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
Alijua Magufuli na Ndugai hawatakufa ( Ndugai naye ni "mfu" tu, dead man walking)Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!
Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?
Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
Paskali "Njaa" Mayalla atawapotosha wasiojua, lakini Wakalee kama mimi tunaomjua tangu anaanza wanahabari hatubabaishi hata nukta! Ni njaa tu inamsumbua hata Mwendachato alimwambia hadharani!Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!
Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?
Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
Limezeeka limekuwa kama mlenda mpaka ongea yake! Nyambafu sakeHuyo jamaa anachoandika hakiendani na umri wake.
Inatosha wakubwa! Sababu kuna mtu Alisutwa mpaka Kafa!
Msije mkasababisha makubwa!
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile appa
Daaah! Kweli lakiniLakini si ndio Wabunge wote wa CCM walivyo?!
Абсолютно глупо перестать использовать ум в шкафуKisukuma sio kirusi tafadhali.
камень жив в наших сердцах , если постучишься ннайди SA100Jiwe alisema hivyo hivyo lakini katangulia yeye, Mungu fundi aisee. Wengine bila Chadema msingekuwa na kazi hapo CCM
KaweMzee anaezeeka vibaya imagine hata ccm wenzake walimkataa kule kigamboni wakampa kura moja tu tafsiri yake ni kwamba haaminiki. Freelancer mavi.
Ma analaka ni nini?JF Ni mahala Pa hoja. Acha utoto wa kufikiria tofauti. Yeye sio mahakama. Unadhani Ma analaka na kuota kesi Hii. Demokrasia ndo matunda ya hoja sio kushinda au kushindwa. Acha kusutana Ni Utoto.