Mayalla ana hali gani mida hii baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

Mayalla ana hali gani mida hii baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Huyu jamaa alianzisha thread nyingi sana Kila siku na zisizo na kichwa Wala miguu akiilaumu na kujifanya kuikosoa CHADEMA kwamba eti "hawaijui Katiba ya Chadema Wala ya nchi"!

Kama kawaida walijitokeza vilaza wakamsapoti, sasa natamani kufahamu amejisikiaje Baada ya Mahakama kuipiga chini kesi ya Mdee na Wenzake?

Funzo, tusizidi kujiona wajuaji kuliko wengine
 
Ukiona Mtu 'anadharauliwa' mno na GENTAMYCINE hapa Jamvini jua ni 'damn Fool' na wala usinishangae kwa hili kwani wengine tuna hadi 'dossiers' zao Mkuu.
Mida hii sasa anasoma kimya kimya
 

Attachments

  • 20220612_175937.jpg
    20220612_175937.jpg
    92.6 KB · Views: 5
Mayalla huwa ni msanii tu, anachezea akili za watu kwa makusudi huku akiujua ukweli.

Pale anapojiweka juu ya maamuzi ya KK ya Chadema, Baraza Kuu la Chadema, msajili wa vyama, na maamuzi ya mahakama zetu kwamba wote hao hukosea kwenye maamuzi kuwahusu kina Mdee ndipo humuona ni msanii tu.
 
Ila unafiki unataka roho ngumu sana! Yaani mtu mzima unakubali kuonekana wa hovyo na kuharibu heshima ya jina lako uliyoijenga kwa jasho na damu ili umfurahishe mteuzi?

Mayalla hadi anaitwa bungeni na Ndugai alikuwa shujaa anayesimamia hoja za msingi, lakini njaa ilipompelèka Kawe ndio akawa bogus kuliko hata Suphian Juma yule kijana wa Zitto na marehemu Seif
 
Back
Top Bottom