Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawabaguaje wewe mzee wa sareWote hao walikuwa wanakiwasha pamoja, iweje uwabague?
Kivipi fafanua.Mashabiki wa yanga hawajielewi.
😂Tutaroga hadi mafi yake asikunye mwaka mzima
Goli la offside la Feitoto kwa marejeo ya picha za video na uchambuzi wa Othman Kazi kipyenga cha mwisho!! Goli la offside huwa halina ladha, sisi uto tunahesabu Fei bado hajatufunga na hatokuja kupata hiyo nafasi. Wazee bado wapo hai!Ilikuwaje kwa Fei toto kuifunga Yanga?
Ikiwa Fei toto aliibamiza Yanga hata Mayele ataibamiza tu Yanga siku akichezea timu yoyote dhidi ya Yanga.