Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #141
FISTON MAYELE🎙️"MISRI Hakuna Kusifiwa Hakuna Kupostiwa, Huku Mechi Imeisha Umefunga Ume-assist, unarudi nyumbani kula wali unalala."
"Kuna ukweli Waarabu wana ubaguzi, ukija uwe umejiandaa "Niliwahi kuongea na viongozi sijaja hapa kukaa benchi, tofauti na hapo December naondoka, mmetoa pesa lazima nicheze."
"December tulienda Uarabuni, tukafungwa, kocha akaandika ripoti nitolewe kwa mkopo, president akakataa, kilichofuata huyo kocha akafukuzwa."
"Pyramids hakuna bonus, niliuliza wachezaji wakasema hakuna, nakumbuka ni mechi na TP ndio president aliahidi pesa, lakini kitu kizuri wanalipa mshahara mkubwa." - Mayele