Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

Sio lazima mchezaji kuipenda timu, ile ni ajira yake na yeye ni binadamu upendo wake unaweza kuwa kwenye timu nyingine sio jambo baya.
Labda sijaeleweka. Sikumaanisha kuipenda timu kama Mrisho Ngassa alivyoipenda Yanga, bali nilimaanisha hakuwa anaipenda Yanga kutokana na waliyomfanyia kwenye mkataba.
 
hana adabu,hana heshima,hana shukrani,eti nilikosea kucheza tanzania,,!huyu asuingie tena nchi hii,kama ana watu na vitu aliacha hapa aje kuvichukua,hata huyo kibaraka wake yasmin ambae nae katukanwa,kama zinamtosha ataachana nae
 
Ameikosea Yanga... kuna timu zingine zinamhitaji hapa tz... msitumie mbinu zenu za kiu topology kumzuia kuja kucheza tanzania
 
Mayele ni mchezaji wa kawaida sana.

Ningependa harudi Tanzania acheze Simba ama Azam ndio mtaamini kauli yangu.
 
“Wanashambulia hadi familia yangu, nimemposti mtoto wangu wa kwanza ilikuwa siku ya Birthday yake watu wanaandika ushambaushamba mpaka baba yangu akanipigia simu anasema ‘ni nini hiki mbona sio wewe wanaanza kuingia kwenye familia, nilichomjibu baba ni kuwa nilikosea kucheza Tanzania”

Fiston Mayele akizungumza katika mahojiano na Azam Tv.

Hili linaloendelea litufundishe jambo, kuna mambo ya kuongea na kutokuongea, ikumbukwe yeye ndie alieanza kuirushia maneno Yanga na bado anaendelea. Sidhani kama ataiweza vita na mashabiki (maneno, ushirikina) na kama ndio mtu wa kujali yanayoandikwa mtandaoni hali itazidi kuwa mbaya kwake.

Ushauri wangu ni bora akae kimya kuliko kuendeleza maneno.

View attachment 2960619

kuishi na washirikina kuna hitaji hekima sana Fiston Kalala Mayele atakua kapata somo kwamba mchawi hana rafiki
 
“Wanashambulia hadi familia yangu, nimemposti mtoto wangu wa kwanza ilikuwa siku ya Birthday yake watu wanaandika ushambaushamba mpaka baba yangu akanipigia simu anasema ‘ni nini hiki mbona sio wewe wanaanza kuingia kwenye familia, nilichomjibu baba ni kuwa nilikosea kucheza Tanzania”

Fiston Mayele akizungumza katika mahojiano na Azam Tv.

Hili linaloendelea litufundishe jambo, kuna mambo ya kuongea na kutokuongea, ikumbukwe yeye ndie alieanza kuirushia maneno Yanga na bado anaendelea. Sidhani kama ataiweza vita na mashabiki (maneno, ushirikina) na kama ndio mtu wa kujali yanayoandikwa mtandaoni hali itazidi kuwa mbaya kwake.

Ushauri wangu ni bora akae kimya kuliko kuendeleza maneno.

View attachment 2960619
Ndo maana anaflop Misri.
 
[emoji1787][emoji1787]Nyie Simba mlipoacha wachezaji wenu angalia kilichowakuta , mmepotea mazima, mmewarudisha wameshiba, mpira hamna ..Feisal na Mayele ni wachezaji wanaoteseka sana na mafanikio ya Yanga.
Misiri ni ligi kubwa sana ile just imagine kuna timu za kawaida zinaiufunga Ally Ahli lakini kutwa tunahangaika kuwafunga , Mayele alijaa sifa akaamini popote pale atawika , yamemkuta anaaza kubebesha watu lawama.
Yanga ilimbeba sana akawa maarufu.
 
Mayele alikosea kucheza utopoloni. Sio tanzania .hao utopolo akili hawana. .mchezaji wao yeyote akiwa mzuri akiondoka lazma watamchukia .angalia Morriston,feisal na sasa mayele. Hyo timu ndo tabia zake.we timu inaandika barua kuomba wapewe goli wana akili hao?
Yaani uje Yanga tukukuze kipaji badala ya kuitumikia timu unatimka, sawa basi ukitimka huko uliko kaa kimya kama Feitoto!! Maneno ya shombo ya nini?
 
Mayele alijua akienda Misri atafunga tu kirahisi kama alivyofunga Tanzania jamaa anapenda sana media hata kocha wa Mamelodi alimwambia aache hizo mambo acheze mpira maana alipokosa Visa ya kuingia SA kwa wakati mechi yao na Mamelodi SA akaandika kwenye mitandao Mamelodi wameshawishi asipate Visa ili asishiriki na akasema Mkuje Misri...Mamelodi kama kawa wakatimba Misri na wakashinda ndio kocha akamwambia achana na upuuzi wa Media cheza mpira wakongo wengi wana vipaji ila mambo ya kushindana ndio yanawapoteza hata kwao vita ipo kwa sababu ya tabia zao za kipuuzi kama hizo...
Mayele hakua na sababu ya kutukana sehemu ambayo imemfanya apate jina na watu walimheshimu kweli sema kafanya mambo kama sio Professional.
 
Back
Top Bottom