Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

Kipindi cha Mayele mchezaji aliyekuwa mzuri alikuwa Baleke.

TP Mazembe ni washenzi sana, kufanya vibaya kwa Simba kumechangiwa pia na TP Mazembe kwa kukataa Baleke kuendelea kubaki Simba.
Kivipi hiyo sijaelewa kivipi kubaki ka baleke kumeipoteza simba?
 
Yeye alikua anataka kutoka Yanga na alitaka kuwaonyesha kuwa anaweza kwenda popote ingawaje Yanga walimwambia watamuongezea mshahara akagoma kwa hiyo zile fursa za Yanga bado zinamuumiza hakuna kitu kizuri kama upo sehemu unapata furaha sasa anaona hawezi kurudi tena Yanga kwa mazingira aliyotoka ndio maana anashinda kwenye media...
huyo ni fungu la kukosa, huko uarabuni fedha zipo ila furaha kwa ngozi nyeusi hakuna.
 
GSM alipoanza kuifadhili Yanga alichukua wacgezaji wengi kutoka Congo, mshikaji wangu akasema hii ni hatari sana kuwa na wachezaji wengi wq kulipwa toka nchi moja sababu wanaweza wakashiriki kwenye kurubuniwa kwenye baadhi ya mechi. Angalia wapinzani wao wanao wqchezaji wa nchi tofauti.

Nadhani Kuna jambo lilitokea ndipo Yanga wakahamua kusajili wachezaji wa kigeni kutoka nchi tofauti.
Hili nakubaliana na wewe, hata ishu ya kina bangala na djuma shabani nadhani sababu ni hiyo.
 
Yanga ni aibu hii..hivi mnajiona mpo sawa.???
Yanga tupo sawa sana hata uwanjani tunathibitisha hilo.
hana adabu,hana heshima,hana shukrani,eti nilikosea kucheza tanzania,,!huyu asuingie tena nchi hii,kama ana watu na vitu aliacha hapa aje kuvichukua,hata huyo kibaraka wake yasmin ambae nae katukanwa,kama zinamtosha ataachana nae
Hana adabu kabisa huyu mtoto.
 
Labda sijaeleweka. Sikumaanisha kuipenda timu kama Mrisho Ngassa alivyoipenda Yanga, bali nilimaanisha hakuwa anaipenda Yanga kutokana na waliyomfanyia kwenye mkataba.
Kuhusu mkataba ni uzembe wake mwenyewe kwakuwa hakulazimishwa.
 
Back
Top Bottom