Goli la offside la Feitoto kwa marejeo ya picha za video na uchambuzi wa Othman Kazi kipyenga cha mwisho!! Goli la offside huwa halina ladha, sisi uto tunahesabu Fei bado hajatufunga na hatokuja kupata hiyo nafasi. Wazee bado wapo hai!
Nakukumbusha Maradona alifunga goli la mkono akaambiwa bado hujafunga acha sifa za kijinga ndipo akaja kufunga goli la karne. Mwambie Fei afunge tena goli halal maana lile la offside la mchongo kwa hisani ya bahasha aliyopewa yule mshika kibendera kuhakikisha chamazi wanashinda mechi ili kuipunguza kasi Yanga