Mayele angetetema Mara ngapi mechi ya Orlando pirates vs Simba

Hivi utopwinyo mlipocheza na RIVER UTD mapele hakuepo..?
 
Umesahau hili

Kapooombuuuu......anaifungia Simba kwa goli la penalty ......ambalo hata angepewa Bocco ....asingekosa
 
Huyo bocco &kagere na huo uzee wao lkn hiyo takataka yenu ya mapele haiwezi kufikia mambo waliyofanya hawa jamaa. Kagere misimu 4 nyuma kapiga goli ngapi ligi kuu bara uje ufananishe na mayele huyo ambae ni jogooo la shamba
Acha kuongelea historia mkuu......tuletee CURRENT DATA
 
Kumbe hata mpira hufuatiliii

Mayele hakuwa sehemu ya kikosi kucheza CAF
Sawa kutokuwa sehemu ya mchezo huo ni.ujinga wenu wakupenda vya bure na pia mbona simba chama yupo nje ya mashindano ila kinawaka🤣🤣🤣 mayele jogoo la shamba haliwiki mjn
 
Current data wapo CAF confederation Cup vp.mayele yupo CUF ya lipumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mayele anaongoza ligi yenye ushindan mkubwa east and central Africa
 
Sawa kutokuwa sehemu ya mchezo huo ni.ujinga wenu wakupenda vya bure na pia mbona simba chama yupo nje ya mashindano ila kinawaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mayele jogoo la shamba haliwiki mjn
Mkuu.....ko chama unamfananisha na Mayele kweli......

Mayele ni class za kina CR 7. wazee wa kufosi matokeo
 
Aaaah cjajua mkuu.....but Mayele sio mzee Kama kagere na mzee Bocco
Hao watu waheshimu kwanza unapaswa kujua Kagere na boko walikuwa na wastani wa kufunga magoli mangapi kwa msimu wakiwa kwenye ubora wao.
Je huyu mfuga nywele wenu anawafikia hao watu wakiwa kwenye ubora wao?
Na zaidi wamejitahidi sana kudumu kwenye kiwango chao kwa muda mrefu huyu wenu bado mapema.

Kagere msimu wa kwanza tu alifunga goal 20+ kama kumbu kumbu zangu ziko sawa.
 
Mkuu tutauvuka mto tukiufikia sawa, mwakani mayele atakuwepo humo panapo majaaliwa
 
Mkuu tunawaheshimu Sana .....but inawezekana waliweza kutrend Sana kutokana na ushindan kuwa duni Sana compared to now .....timu znacheza kiushindan mno .......kumbuka mbeya city, kagera
Walivyo wapelekea Moto

Kumbuka hata legend PELE Kuna watu Wana m criticize kuwa sawa alikuwa mfungaji mahiri Sana but [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] enzi zake .....hakukuwa na Sheria za offside......so inawezekana 45% ya magoli yake yalikuwa ni offsides
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…