Mayele kakosa kiatu kwa uzembe wake mwenyewe

Mayele alipaswa awepo misituni sambamba na hawa Wacongo wenzake ili aipambanie nchi yake dhidi ya wanamgambo wanaotorosha madini nchini kwao

 
Mayele anakabwa kama kawaibia mabeki wa timu pinzani Figo,kuna beki wa timu fulani ambayo mashabiki wake wana maumivu kwa sasa alionekana shujaa kwemye derby kisa tu kamzuia Mayele asifunge,uchizi!!
 
Mm nilikuwa nawaambia watu mayele ni mchezaji wa kawaida hajafika levo za kina Kagere yaan timu yako haijafungwa mechi hata moja na imechukuwa ubingwa unashindwaje kuwa top score wakati chance ya kushinda kwenu kila mechi ni kubwa angalia Kagere hapo Simba hali sio nzuri goli 7 inamaana huyu mayele Angekuwa timu kama azam au Simba ya mwaka huu Angekuwa kama mugalu tu anagoli 1 au 3 kutetema mwaka mzima mwisho wa msimu unaangukia pua kwa wasiokuwa na akili wote watalalamikia goli la Leo kama yeye ni hatari kwanini asishinde magoli hata 19 au 20 ili kuweka utofauti na wenzake kwa yoyote anaona imemuuma mayele kukosa kiatu aende karume akamtafutie mkiambiwa huyo ni mchezaji wa kawaida muwe mnaelewa Timu mkubwa miaka 5 haitoi mfungaji bora wa ligi huo ukubwa wa Yanga uko wapi?
 
Mayele anakabwa kama kawaibia mabeki wa timu pinzani Figo,kuna beki wa timu fulani ambayo mashabiki wake wana maumivu kwa sasa alionekana shujaa kwemye derby kisa tu kamzuia Mayele asifunge,uchizi!!
Mayele ni hatari sana hadi imefikia hatua wabunge makolo wanatamani apelekwe Congo vitani afie huko.
 

Swala la mayele kutokua mfungaji bora liliiua la kitaifa kwa 80%,ilifikia mpaka waandishi kumpa ahadi ya pesa,marefarii na makolo nao sijui walimuhaidi nini huyu jamaa,niliangalia ile game coastal pa1 walikua washafungwa goli 2 kwa goli la feisal na chico lakini mabeki walikua tayari afunge yoyote lakini sio mayele kwa jinsi walivyokua wanamchezea deep
 
Naam ila hatuna muda na watingisha maziwa na kulia lia baada ya kukosa kiatu cha dhahabu
Haha mayele amewaachia makolo kidonda cha kudumu mnahasira naye kama kawapokonya mke 🤣🤣🤣
 
Ligi imeisha
Mpole top scorer
Mayele top mkata viuno na mtingisha maziwa
 
Mpuuzi mmoja alisikika akipayuka
 
yaan umeongea kitu cha mpira sanaa. na nikazie hapo hapo tu kuwa msim ujao mayele hatokuwepo kwenye kinyanganyilo cha wafungaji bora...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…