Mayele kakosa kiatu kwa uzembe wake mwenyewe

Sasa mambo ya kimataifa yanahusikaje hapa.. hata kama hao akina Kagere wakitoka na 2 sijui 3.. hzo 2 tuoneshe mechi gani ya kimataifa wamefunga..acha Uzwazwa wewe Kikurung'unde
kagere kawafunga hadi al ahly
mpuuzi wewe
 
Masikini makolo mnajifariji [emoji1787]
Umeona clip? Analia huku anamfata kibendera, dreads zinapeperuka na upepo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka mbavu cnaa, nasubiri chupli chupli ya Takadini kesho kwa Press.

Mpoleeeeee katuliza jiji, mnalooo hili. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaambiwa mayele toka aanze kucheza soka la ushindani (timu za ligi kuu) hajawahi kua mfungaji bora
 
Kwahiyo mabeki walikuwa wanamwachia afunge kisa uzalendo? Mbona uingereza anachukua salah badala ya kane inamaana hakuna uzalendo?
 
Bila ushabiki wa hizi timu zenu za Kariakoo, Mpole ni mfungaji wa magoli mengi na Mayele ni mfungaji Bora wa msimu.
 
Kwani messi na Ronaldo hawakabwi Sana? Lakini mwisho wa siku wanaweka mpira nyavuni Mayele ili awe mshambuliaji hatari alitakiwa kuonesha ni striker wa namna gani au mwenye ubora upi kwa kipindi chote hicho wanachomkaba Messi na Ronaldo wamekuwa Bora na wanatajwa kama wachezaji Bora wa muda wore kwa moment kama hizo
 
Watu wa simba wanateseka jamani
 
Kwani hao unaowasema hawakuwa katka ligi akina kagere na wengine achani unafiki ni matokeo ya mitihani ilivyo

Mpole Kawa top score na mayele wapili
Full stop


Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Ndio ni moja na mimba yake mkabeba mapacha 4
Sawa kolo nambari 1.. ndo kombe mlilokuwa mkilisubiri Hilo ni kiatu Cha Mpole tu.. ety..
Yaan haya maisha haya kutoka kwenye kinyang'anyiro Cha makombe Hadi kiatu. Alafu nasikia amechukuwa mchezaji wa GEITA, kwani nyie ukoloni Huku hamna wachezaji eeh🤣🤣
3ZOV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…