cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman nakufaaaa leo.Mayele his right make hapo kwanza ncheke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman nakufaaaa leo.Mayele his right make hapo kwanza ncheke
Nini wewe unakimbia wapi sasaNgoja walimu wa kimalkia waje mie simooo 🏃🏿
Masikini makolo mnajifariji 🤣Analia yeye huko anasema wachezaji wenzake hawampi ushirikiano, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] , jiji limetuliaaaa.
Siba guvu lege-lege - by Da Babra 🤣Udhihirisha unyani' ukosaji wa elimu na uumbwa punguza kubweka bweka kama asemavyo lejendari dj luc eymael
Pablo ndiyo ana maajabu 🤣🤣🤣Hana maajabu huyo kashindwa na mtoto mdogo mpole
kagere kawafunga hadi al ahlySasa mambo ya kimataifa yanahusikaje hapa.. hata kama hao akina Kagere wakitoka na 2 sijui 3.. hzo 2 tuoneshe mechi gani ya kimataifa wamefunga..acha Uzwazwa wewe Kikurung'unde
Umeona clip? Analia huku anamfata kibendera, dreads zinapeperuka na upepo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Masikini makolo mnajifariji [emoji1787]
Kwahiyo mabeki walikuwa wanamwachia afunge kisa uzalendo? Mbona uingereza anachukua salah badala ya kane inamaana hakuna uzalendo?Mayele akiwa ndani ya 18 anakabwa na watu watatu hadi wanne muda mwingi wa mechi tena ni game zoote
Mpole hakuna anayehangaika nae ni yeye tu mpira ukimkalia sawa ana score.
Mayele ukongo wake pia umemponza wa tz wengi wakiwemo baadhi ya waamuzi walipenda sana mpole achukue kiatu hiki eti sababu tu ni mzawa..!na hilo limethibitika katika mechi nne au sita sasa ambapo magoli ya mayele yamekua yakikataliwa atini offside wakati mengi yao ukiangalia yalikua magoli halali kabisa
Kitu ambacho kwa mpole hakipo,kundi kubwa la wa tz lilitamani mpole aongoze ktk mbioza wafungaji.
Lakini kuna uzi niliwahi kuweka hapa kuwa Mayele atabaki kuwa Mayele..
Leo hii George Mpole anaongoza katika ufungaji lakini sio hatari/ tishio...
Leo hii timu yeyote na mtu yeyote akiambiwa aunde kikosi na awekewe straika wawili achague kati ya mayele na george ...unadhani nani atanyakuliwa hapo?
So Mayele si mzembe bali Mpole uzalendo umembeba kwa kiasi kikubwa
Kwani messi na Ronaldo hawakabwi Sana? Lakini mwisho wa siku wanaweka mpira nyavuni Mayele ili awe mshambuliaji hatari alitakiwa kuonesha ni striker wa namna gani au mwenye ubora upi kwa kipindi chote hicho wanachomkaba Messi na Ronaldo wamekuwa Bora na wanatajwa kama wachezaji Bora wa muda wore kwa moment kama hizoView attachment 2276909
Swala la mayele kutokua mfungaji bora liliiua la kitaifa kwa 80%,ilifikia mpaka waandishi kumpa ahadi ya pesa,marefarii na makolo nao sijui walimuhaidi nini huyu jamaa,niliangalia ile game coastal pa1 walikua washafungwa goli 2 kwa goli la feisal na chico lakini mabeki walikua tayari afunge yoyote lakini sio mayele kwa jinsi walivyokua wanamchezea deep
Wapi nimesema Simba ?Simba mbovu imefikaje robo final CAF?
Ndo Lile goli la offside.. kwanza si moja tukagere kawafunga hadi al ahly
mpuuzi wewe
Pablo kazi yake kufunga? Uko utopoloni kumbe wote hamna akiliPablo ndiyo ana maajabu 🤣🤣🤣
Ndio ni moja na mimba yake mkabeba mapacha 4Ndo Lile goli la offside.. kwanza si moja tu
Lege lege anajulikana nani wenzake wanafunga magoli yeye anatikisa maziwaSiba guvu lege-lege - by Da Babra 🤣
Kwani hao unaowasema hawakuwa katka ligi akina kagere na wengine achani unafiki ni matokeo ya mitihani ilivyoMm nilikuwa nawaambia watu mayele ni mchezaji wa kawaida hajafika levo za kina Kagere yaan timu yako haijafungwa mechi hata moja na imechukuwa ubingwa unashindwaje kuwa top score wakati chance ya kushinda kwenu kila mechi ni kubwa angalia Kagere hapo Simba hali sio nzuri goli 7 inamaana huyu mayele Angekuwa timu kama azam au Simba ya mwaka huu Angekuwa kama mugalu tu anagoli 1 au 3 kutetema mwaka mzima mwisho wa msimu unaangukia pua kwa wasiokuwa na akili wote watalalamikia goli la Leo kama yeye ni hatari kwanini asishinde magoli hata 19 au 20 ili kuweka utofauti na wenzake kwa yoyote anaona imemuuma mayele kukosa kiatu aende karume akamtafutie mkiambiwa huyo ni mchezaji wa kawaida muwe mnaelewa Timu mkubwa miaka 5 haitoi mfungaji bora wa ligi huo ukubwa wa Yanga uko wapi?
Sawa kolo nambari 1.. ndo kombe mlilokuwa mkilisubiri Hilo ni kiatu Cha Mpole tu.. ety..Ndio ni moja na mimba yake mkabeba mapacha 4