Mayele kakosa kiatu kwa uzembe wake mwenyewe

Kiatu kilikuwa kinashindaniwa na kila mshambuliaji wakiwemo hao wachezaji wako wa Simba,
 
uzungu ndiyo ulio m cost mayele. mambo ya kubadilishana badilishana jezi adi 'julio' baada ya mechi ya namungo vs yanga akakamata jezi yake na kuwakabidhi makolo …………………………..
 
kwani unadhani alikuwa anacheza pekee yake?
 
Bila ushabiki wa hizi timu zenu za Kariakoo, Mpole ni mfungaji wa magoli mengi na Mayele ni mfungaji Bora wa msimu.
Atakayechukua tuzo ya Kiatu cha Mfungaji bora, ndo mshindi, hizi zingne ni kelele za Takadini fans, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
uzungu ndiyo ulio m cost mayele. mambo ya kubadilishana badilishana jezi adi 'julio' baada ya mechi ya namungo vs yanga akakamata jezi yake na kuwakabidhi makolo …………………………..
Kwa uzungu gan alionao yule dada Fistonia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie mnatuchekesha huku khaaah, aendelee kutetemesha matiti ili amkonge boss wake,
 
Yeye ameshakubali, nyie ni nani muendelee kuteseka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo mpole mpaka kawa mfungaji bora alikuwa anafunga goli ngapi kila mechi?[emoji848]
Mtu una bichwa kuuuubwa halafu unashindwa kuambulia point.

Mwandishi kasema kwamba Mpole anacheza timu ndogo kulinganisha na Mayele.

Pili kasema unacheza na viungo mahiri km Bangala, Aucho, Feitoto, Sureboy unashindwaje kufunga goli za kutosha? So Mayele ni mzembe, km Siyo wa kawaida.

Kwahiyo Mpole ajengewe sanamu, kwa hadhi na viwango vya geita ,Mpole

amefanya maajabu.
 
Mayele anakabwa kama kawaibia mabeki wa timu pinzani Figo,kuna beki wa timu fulani ambayo mashabiki wake wana maumivu kwa sasa alionekana shujaa kwemye derby kisa tu kamzuia Mayele asifunge,uchizi!!
msimu imeisha kombe imechukua lkn una maumivu.

Je, msimu mpya 2022/2023 ukianza Manzoki, Phiri, Okra wakianza kutupia hayo mahati tiriki si utakuwa unatembea na dripu ya insulin na kipimo Cha Bp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…