3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Haya mpelekee mayele kiatu chakeSawa kolo nambari 1.. ndo kombe mlilokuwa mkilisubiri Hilo ni kiatu Cha Mpole tu.. ety
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mpelekee mayele kiatu chakeSawa kolo nambari 1.. ndo kombe mlilokuwa mkilisubiri Hilo ni kiatu Cha Mpole tu.. ety
Acha makasiriko uto,Sasa mambo ya kimataifa yanahusikaje hapa.. hata kama hao akina Kagere wakitoka na 2 sijui 3.. hzo 2 tuoneshe mechi gani ya kimataifa wamefunga..acha Uzwazwa wewe Kikurung'unde
kwani unadhani alikuwa anacheza pekee yake?Mimi navyofahamu huwezi kuwa mshambualiji mahiri na hatari kama unafunga bao moja kila mechi halafu unategemea uje kuwa mfungaji bora.
Mchezaji kama Mayele kwa aina ya viungo wa Yanga akiwemo Aucho, Sure Boy, Fei Toto, Farid Mussa, Jesus na nk alitakiwa kila mechi amekosa kosa sana bao 2.
Mayele alitakiwa kufunga hata hatrick kwenye mechi lakini ameishia kufunga mabao ya kichawi tu.
Hivi George Mpole kwa timu gani hadi aje kuwa na mabao 17 Leo amshinde Mayele kama sio uzembe wa mkongo huyo.
Wenzake akina Bocco, Kagere, Mugalu walikuwa wakizifumania timu wanajiondokea na mabao 2 had 3 kwa mechi moja.
Sasa wewe Mayele utoke kwenu Congo huko unakuja kufunga kigoli moja halafu unalalamika kuwa wachezaji wenzako wamekunyima ushirikiano.
Nawashauri Yanga kwa mchezaji kama Mayele ambaye hana uwezo wa kufunga mabao mengi katika mchezo mmoja jiandaeni kuaga michuano ya kimataifa.
Mark my words
Atakayechukua tuzo ya Kiatu cha Mfungaji bora, ndo mshindi, hizi zingne ni kelele za Takadini fans, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bila ushabiki wa hizi timu zenu za Kariakoo, Mpole ni mfungaji wa magoli mengi na Mayele ni mfungaji Bora wa msimu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pablo kazi yake kufunga? Uko utopoloni kumbe wote hamna akili
Kwa uzungu gan alionao yule dada Fistonia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uzungu ndiyo ulio m cost mayele. mambo ya kubadilishana badilishana jezi adi 'julio' baada ya mechi ya namungo vs yanga akakamata jezi yake na kuwakabidhi makolo …………………………..
'Siba guvu moya' by Da BabraLege lege anajulikana nani wenzake wanafunga magoli yeye anatikisa maziwa
Kwanini sasa pablo ametimuliwa ??Pablo kazi yake kufunga? Uko utopoloni kumbe wote hamna akili
Tena apewe tyuuh [emoji3453]Kwani mshindi wa pili si anapara sox
Ngoja nikuacheKwanini sasa pablo ametimuliwa ??
Eti zitapigwa tittak za hatari 😂
Kocha mpya wa simba alivyo mzee mchezaji akizingua anamuachia laana 😂Ngoja nikuache
Hueleweki unaongea nini unadandia hoja tuKwani hao unaowasema hawakuwa katka ligi akina kagere na wengine achani unafiki ni matokeo ya mitihani ilivyo
Mpole Kawa top score na mayele wapili
Full stop
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Mtu una bichwa kuuuubwa halafu unashindwa kuambulia point.Kwa hiyo mpole mpaka kawa mfungaji bora alikuwa anafunga goli ngapi kila mechi?[emoji848]
msimu imeisha kombe imechukua lkn una maumivu.Mayele anakabwa kama kawaibia mabeki wa timu pinzani Figo,kuna beki wa timu fulani ambayo mashabiki wake wana maumivu kwa sasa alionekana shujaa kwemye derby kisa tu kamzuia Mayele asifunge,uchizi!!