Mayele kuondoka Yanga, pengo lake linazibika kiurahisi sana

Ndugu hiyo analysis yako ifanye vizuri, kumbuka kuna mechi mayele ndio alikuwa anaziamulia matokeo
 
Hakuna mshabiki wa Yanga wa namna kama yako. Hiyo profile picha yako inadhihirisha kuwa wewe ni kolokwinyo fc
 
Basi ukirejea article yangu utaelewa nilichomaanisha, Mayele hakuwa uwanjani peke yake ndio maana kabeba asilimia 25 kweye alama 78 tulizovuna
Kinachojalisha siyo asilimia kaka,kama ilivoelezewa na mchangiaji mmoja hapa kwenye huu uzi ni kwamba Mayele alifunga magoli yaliyoamua matokeo yawe ya kuchukua point 3 au yale ya mechi za mtoano yaliiwezesha timu yake ya Yanga kusonga,unaweza kumpata striker mwingine akafunga magoli mengi kuliko Mayele lakini yasiibebe timu,mfano ni pale mchezaji anapofunga magoli mengi katika mechi moja halafu anacheza mechi kadhaa bila kufunga.
 
Basi ukirejea article yangu utaelewa nilichomaanisha, Mayele hakuwa uwanjani peke yake ndio maana kabeba asilimia 25 kweye alama 78 tulizovuna
Mchezaji anayechangia 25% ni nguzo muhimu kwa timu. Kama huamini toa % ya mchango wake kutoka 78 pts,utabaki na 50 pts
 
Linazibwa na sudi abdallah?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna mshabiki wa Yanga wa namna kama yako. Hiyo profile picha yako inadhihirisha kuwa wewe ni kolokwinyo fc
Wewe aliyekuambia mimi ni Shabiki wa Yanga ni nani? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…