Mayele Kuuzwa Bilioni 3.6 AS Vita Kuchota Milioni 800

Hoja yangu ilijikita katika huu uongo ulio uandika ww.

"...yake zinabaki $0.7M ambazo hata nazo ndani yake kuna components za hela ya usajili na mshahara wa Mayel..............".
Mimi nimeitoa katika habari hiyo iliyokuja kwa kiingereza. Labda uniambie, kama mauzo na mshahara wa miezi mitatu ni $1.5M na AS Vita wanatakiwa wapate $0.8M, zinabaki kiasi gani?
 
Na m.k.u.n.d.u anauza tumnunue...? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…