Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Mimi nimeitoa katika habari hiyo iliyokuja kwa kiingereza. Labda uniambie, kama mauzo na mshahara wa miezi mitatu ni $1.5M na AS Vita wanatakiwa wapate $0.8M, zinabaki kiasi gani?Hoja yangu ilijikita katika huu uongo ulio uandika ww.
"...yake zinabaki $0.7M ambazo hata nazo ndani yake kuna components za hela ya usajili na mshahara wa Mayel..............".