Mayowe ya watu wa Gaza ambayo watu wameziba masikio kuyasikiliza. Waomba msaada kwa mmoja tu

Actually deception ni kubwa duniani na watu hawajawahi kujua Allah na Yahweh ni Mungu tofauti kabisa the god of Saudi Arabia (Allah) Babylonian gods) imitate God of Israel, so Allah ni different from the God of Israel, mimi nasema Israel ishirikiane na wapalestina iwatoe Hamas madarakani kama inawezekana , ili Palestine ipate uhuru lazima iwe na serikali ambayo haiko chini ya HAMAS
Eliminate utawala wa HAMAS ili PALESTINE IWE FREE there are good People in Palestine ....some Palestians are VERY good people wanahitaji Amani na Israel always lakini as long as SHETANI amejiunga na HAMAS THERE WILL NEVER BE PEACE until you find and see King of PEACE
 
Hii vita ilianzia tokea mwaka 1948
Hata uvamizi utaofanywa tena na hamas mwaka 2033 itakua ni muendelezo wa kilotokea mwaka 1948
Tunazungumzia shambulio la kigaidi la Oct 7 ndio chanzo. Kabla ya hapo kulikua na vurugu za hapa na pale ambazo hazikusababisha maaafa makubwa kiasi hiki
 
Hayo mayowe wanampigia nani wakati October 7 Hamas walianzisha vita wenyewe wakaita mafuriko ya alqsa na Israel akajibu mashambulizi akiyaita operation upanga wa chuma hata
 
Hata Israel October 7 walipiga mayowe baada ya kuvamiwa na Hamas sasa wanajibu mashambulizi kwanini tusikilize mayowe ya wapalestina pekee yao?
 
Hata Israel October 7 walipiga mayowe baada ya kuvamiwa na Hamas sasa wanajibu mashambulizi kwanini tusikilize mayowe ya wapalestina pekee yao?
Yale ya Israel hayakuwa mayowe makubwa kwani waliguswa kidogo tu.Hata hivyo yalisikika haraka kutoka Marekani na UK na wakaenda mbio kutoa pole.
Sasa tunashangaa mbona haya ya Gaza yamekuwa makubwa zaidi na hakuna anayesikiliza.
 
si mlisema hamas wanashinda vita ?
 
Kwa malengo ya Israel iliyojiwekea mpaka sasa Hamas ndiye mshindi.
Ushindi wa vita hupimwa kwa kufikiwa malengo ya vita.
mmefikia malengo ya kuwafanya wapalestina wapoteze hata eneo walikuwa wanajibana , si ndio malengo hayo ?
 
kelele za nini ? mungu awape nini tena ? si mlisema mmeshinda ? nyie watu akili zimeyumba
 
mkuu jitizame akili zako vzr , utakuwa unewehuka sio bure , palestina na israel kila mtu alipewa eneo lake ila tamaa za waarab kutaka eneo lote pekee yao ndo iliwaponza
 
Acha kueneza uzushi. Huko kote Mayahudi yamepokea kichapo na hayo mayowe ni kutoka kwa Waisrael. Wanagaza wana enjoy tu life. Na bado watu watapigika sana. Usiwachafue wana gaza kuwa wanalia lia. Hawa Isral wataisha wote huko.
 
Palestine ipo ngangari. Na imeshinda hivi vita.
 
Kwa malengo ya Israel iliyojiwekea mpaka sasa Hamas ndiye mshindi.
Ushindi wa vita hupimwa kwa kufikiwa malengo ya vita.
Nyinyi Waislam ni watu wa Ajabu sana sana. Kila Leo mwaka na story, Allah asaidia vita tunashinda; mmewatanguliza watu wa Gaza maskini na kuwaaminisha maujinga yenu ya kitabu chenu Cha KISHETANI. Sasa hivi wamechoka na wanataka Kamasi ifutiliwe mbali. Ona huyu mjinga mwenzenu Hannah Ashrawi ati Kamasi haiwezi futiliwa mbali.


Sasa ni kwambie kitu, na utunze hiyo:
Kama ilivyofutiliwa mbali Alqaida na ISIS, ndicho Israel inaenda kukifanya kwa KAMASI
 
Kwa uwezo wa Allah itakuwa kinyume chake na historia itaandikwa kuhusu october 7 na kilichofanyika 1948
Allah kashakula kona nanii huon watu wamelia wamechoka. Wht if huyo Allah ndio kaamuru Israel watoe kichapo hevi
 
Hanna Ashrawi ni mkristo mwenzenu mwenye akili na anyeijua Palestina sio nyinyi ambao mnapeleka wenzenu wakawasidie Israel kupora ardhi za watu na wakiuliwa mnalalamika.
 
Hanna Ashrawi ni mkristo mwenzenu mwenye akili na anyeijua Palestina sio nyinyi ambao mnapeleka wenzenu wakawasidie Israel kupora ardhi za watu na wakiuliwa mnalalamika.
Unafikiri nani asiyejua kuwa Huko Gaza na West Bank kuwa wako wakiristo! Lakini mlivyo makatili nyinyi Waislam inabidi tu wacheze mziki wenu ama sivyo mnawaua
 
Hamas ipo imara kinyama. Hakuna shida kwa mtu yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…