Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Maisha sio mashindano ndio maana Gwajima sio RaisiHeaviness ndio humpa mtu ushindi. The heavy you are determine the possibility of winning your battle.
Gwajima is too heavy compared to Maza.
Not only heavyness but also upstairs matttersHeaviness ndio humpa mtu ushindi. The heavy you are determine the possibility of winning your battle.
Gwajima is too heavy compared to Maza.
Mashindano ni kwenye uwezo wa kutumikia watu kulingana na vipaji ulivyopewa na Muumba.Maisha sio mashindano ndio maana Gwajima sio Raisi
Raisi ni Mama Samia
mungu kwako wewe..kwa wengine ni mtu km watu wengine ila ana nafasi ya mamlaka kuongoza.Kwa kauli ya Samia namshauri Gwajima akae kimia asithubutu kujibu maana yatamkuta mkubwa.
Katika nchi zetu zilizoko matakoni mwa dunia rais ni kama mungu.
Bro wa kutafuta pesa upo?Ngoja tuone mkuu
Badilisha hii I'd wewe kiaziTutakuita mkuu,ila aache vitisho huyu mama,hivi kumbe kauaji haka kamama? Aisee
Hakuna sehemu nilipo sema ni mungu bali nimesema ni kama mungu kwa sababu wao wanajiona kuwa hawawezi kukosea na ndio maana hawataki kukosolewa.mungu kwako wewe..kwa wengine ni mtu km watu wengine ila ana nafasi ya mamlaka kuongoza.
Vingereza kama hivi uwa naviscreenshoot nikiwa na mikutano na wanakijiji naviunganisha kwenye hotuba yangu ,utasikia mtaani yule kitumbo tumbo eti alisoma Ulaya lakini eti kwao wana hela .If contestant would be Lissu against SSH, I would hesitate and rethink of casting my vote or not but being Gwajima i support him 100%....Chess well played, the queen has fell.
Gwajima huyu huyu aliesema atamrudisha Amina Chifupa kwamba kachukuliwa msukule?Heaviness ndio humpa mtu ushindi. The heavy you are determine the possibility of winning your battle.
Gwajima is too heavy compared to Maza.
Sawa zuchu jrHeaviness ndio humpa mtu ushindi. The heavy you are determine the possibility of winning your battle.
Gwajima is too heavy compared to Maza.