Mazaa hawezi kusimama mbele ya Gwajima na akashinda . Never, niko pale mniite Zuchu akishinda

Huwezi kumlinganisha Gwajima na Samia hata siku moja.
Hadi sasa hakuna hata hoja moja ya Gwajima iliyojibiwa. Maneno ya Samia leo yameonyesha uwazi

Ipo siku ukweli wote utakuwa wazi!
 
Heaviness ndio humpa mtu ushindi. The heavy you are determine the possibility of winning your battle.
Gwajima is too heavy compared to Maza.
Huyu akizidiwa anatumia police na Mahakama kuweka kizuizini kama alivyofanya kwa Tundu Lissu,alitumia fedha aliposhindwa akaamua kutumia polisi na Mahakama kumuweka kizuizini na kumtungia kesi ya uongo ili amnyonge hadi kufa.
 
Maza kashindwa kabisa kujiweka mbali na hoja za utekaji. Wakati wake umefika tamati
 
Gwajima ana historia ya kuwa mpinzani asiyeogopa kusema ukweli wake hadharani. Gwajima ameonyesha mara kadhaa kwamba haogopi kukosoa au kuingia kwenye mijadala mikali dhidi ya serikali au viongozi wa juu. Anaweza kutoa hoja zenye uchokozi, zenye hisia, na zenye maudhui ya kiroho au kijamii bila woga – kitu ambacho Mazaa, kama kiongozi wa taifa, ana mipaka ya kusema mambo fulani kwa hadhara kutokana na nafasi yake ya heshima na umakini wa kisera.
 
Chalamila alisemaje kuhusu katiba enzi zile akiwa na akili zake?
 
Upunguze kitambi sasa Broo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…