Mazaa hawezi kusimama mbele ya Gwajima na akashinda . Never, niko pale mniite Zuchu akishinda

Naye huambatana na bodyguards kila mahali?

Awe makini sana zama hizi ni either atashambuliwa kama Kitima ama kutekwa kama Mdude!

Ngumu kushindana na mwenye mamlaka yote yale na ukatoboa!
Mamlaka ngp unazozijua..
 
Gwajima anaewaaminisha watu kuwa anafufua watu lakini mama yake mzazi hakuthubutu kuwaambia watu kuwa atamfufua alipofariki.
Ni ujinga kujaribu kuongelea mambo usiyoyafahamu..
 
Jeikei again kachezesha mwanasesere wake, kauli zake juzi za kuhakikishia ushindi kambi ya kizimjob imefanya rice sasa ayatoe makucha yake...
 
Gwajima anadanganywa na watanzania kuwa wanamsapoti kumbe wanafiki na yeye alivyo kichwa maji kaingia kwenye mfumo ambao utamteketeza na kumwondoa mchezoni.
 
Mara paap gwajima kachukua form yakatokea yaliyotokea magu alipochukua form..!
 
Yule ni raisi jamaa hawezi jibu wala kurudisha mashamburizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…