Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

Hii hoja ni dhaifu!!

Hakuna asiyejua ni kwa nini Lowassa alilazimishwa kurudi CCM.
Na hakuna asiejua kuwa siasa za fitna, uong na majungu kutoka Chadema ndio zilizochangia Lowasa kuachwa na chama chake ili kukinusuru chama. Bila siasa za kinafiki na uongo leo hii pengine ndo angekuwa raisi wa awamu ya 5
 
kama wanampenda sana wasingezui yeye kutangazwa akiwa huko chadema
 
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Kubwa la mafisadi Papa kaondoka na huo ndio uzuri wa Mwenyezi Mungu,hata uibe matrion ya fedha tarehe ya kuondoka unaacha vyote.Tutamkumbuka Lowassa kwa kutuletea Richimond na aggreeco mpaka Sasahivi bado wanaendelea kichota fedha za walala hoi,kwa mikataba mibovu walioisaini,ngoja haende kajibu kwa mola wake maana alikataa kutuambia ukweli watanganyika Richimond ilikuwa niyanani kati ya Yeye na Mkwere.
 
kukosea kupo ila kwenye msiba mc kaniacha nicheke baada ya tukio la kuomba viongozi wapite kutoa heshima zao za mwisho kwenye kutaja ma waziri wakuu wastaafu nikashangaa anamtaja tena muhusika kutoa heshima zake.
sio kosa lake
 
Lakini chadema walipompokea walisema lowasa ametubu na amebatizwa upya kwa kuelezea kwa kin n uhusika wake kwenye Richmond. Hivyo chadema walipompokea wakamsafisha nchi nzima
 
Back
Top Bottom