Mazoezi kwa mwanaume ni muhimu Sana kama unataka kumridhisha mwenza wako kwenye tendo!

Kinachomridhisha mwanamke ni pesa

Hata ukifanya mazoezi yapi kama huna hela unakuwa unapoteza muda

Alafu kingine ile ni kama tyubu inatanuka na kusinyaa kwa hiyo jidanganyeni
Mkuu hakuna kitu cha kumridhisha mwanamke,ukiona mwanamke ameamuwa kutulia ujue ni yeyee ameamuwa atulie na sio ww umemfanya atulie.
 
Kwa Mwanamke unaweza ukajikamua weee ukidhani umemridhisha kumbe unajidanganya

Halafu cha kufahamu kwenye tendo mwanamke ana gain mwanaume ana loose energy

Matokeo yake mwanaume unakonda unabakiza kichwa,unakuwa na muonekano kama RUNGU LA MZEE PEMBE

Usishindane na ulipotoka,kwa kujiona kidume,shaababi
 
Ni ujinga sana mkuu unafanya mazoezi sababu ya K mbona ni upuuzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ