Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Tafuteni hela kila mwanamke utamridhisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa ni ujinga mkubwa..eti kumridhisha mwanamke. Unanufaika na nini ukisha mridhisha?Huu ni ujinga sana na siku hizi naona unafanywa kama trend.
Kufanya mazoezi kwa lengo la kumfurahisha mwingine na sio kwa lengo la kuimarisha afya yako ni ujinga.
Kama wewe unafanya hivyo ili umridhishe, yeye anafanya nini ili akuridhishe?
Hii ndio mentality ya kijinga ambayo inawafanya watu waanze kutumia midawa ya ajabu ajabu hadi wengine kufikia maamuzi ya kufanya enlargment ilimradi tu kumridhisha kimapenzi mwanamke halafu mwisho wa siku side effects zinakuja kipindi ambacho hata mahusiano na huyo mwanamke hayapo tena .
SanaNyinyi watu mnao ishi maisha kwa ajili ya kuwaridhisha wanawake huwa mnaishi maisha magumu sana.
Hivi wanaume wa siku hizi tumekuwaje aisee?
Mbona wanawake hawajishughulishi kuwaridhisha wanaume badala yake wanaangalia masilahi?
Nikukumbushe kuwa malaya huwa haitaji sababu yeyote kufanya umalaya wake ,umalaya huwa ni hobby kama zingine tu.
Ukiona mwanamke ameamuwa kutulia kwenye mahusiano yake jua ni yeye kaamua kutulia na sio ww ndo umemfanya atulie.
Kiufupi mapenzi hayana fomla kwa jinsia zote na wanawake wengi wamesha ligundua hilo ndo maana huwa hawajishughulishi kuridhisha wanaume bali huwa wana angalia masilahi na furaha zao.
Watu hawazingatii hili, but ni moja ya kikwazoKama Hana hisia na wewe huwezi mkojoza labda avute hisia za mwanaume mwingine wakati unampampu lakini kama anahisia na wewe unaweza mkojoza Kwa kumshika mkono tu
Kweli penye miti hapana wajenzi 😂😂😂Eti kupambana nimkojoze? Kama hajaamua mwenyewe? Mi huwa namwambia kabisa demu suala la yeye kukojoa lina mchango wetu sote na yeye mchango mkubwa wa asilimia zaidi ya 80. Mimi ishirini.
Sasa eti nimepump dk 10 -15 yeye ananeng'eneka tu....namwaga mzigo naondoka zangu.sitaki shida mimi. Nimemlipia chakulq,kinywaji,nauli na pesa ya matumizi bado nije kuhangaika tena? Hapana kwa kweli nina mambo ya msingi ya kufanya.
Tena nikigundua huwa hasikii kabisa dk 5 tu namwaga mzigo wangu naenda nawa. Sitaki shida mimi. Labda kakibamia kangu hakamtoshelezi so why niteseke? Mwanamke akiwa na hisia kidole tu anakojoa. Ndo nakuambia sasa. Haina haja ya kuwa na limuhogo na kutaka kutunyanyapaa sisi wa inch 3.
Madogo badala ya kuhangaika kutafuta pesa wanahangaika kumkojoza mtu ambaye ameshakuwa sugu kwenye kutiwa. .... Vijana wa hivyo ni hasara kwa Taifa