Mazungumzo na Vijana wa 2000: Hali ni Mbaya, Watoto Wenu Wanaowindwa na Mabasha na Mashoga

Mazungumzo na Vijana wa 2000: Hali ni Mbaya, Watoto Wenu Wanaowindwa na Mabasha na Mashoga

Kundi linaloongoza kwa maambukizi ya h.i.v Tz ni kundi la watu wenye kushiriki mapenzi ya jinsia moja, So ukitaka kuingia huko ukae ukilijua hilo.
Hivi hii mentality ya kusema kuwa Gays ndo wenye ukimwi, je hawa straight hawana?
Usiseme mapenzi ya jinsia 1, sema mapenzi kinyume na maumbile. Unaweza kuwa sahihi.
 
Eti wanashonwa, 😂😂😂😂
Si ndo nyie mnawashona, afu hapa mnajidai hamfanyi hayo Lol.
Coca siwezi na haitokaa nifanye hicho aseeh

Ukoo na familia yetu ni mwiko asiwe wa mbari wa familia hii akajihusisha na vitu kama hivyo ni chukizo
 
Itabidi nitafute mzee nimuulize kama 1980, 70 na nyuma huko hakukuwa na mashoga.

Mnafanya kama haya mambo ni ya leo wakati hata kwenye bibilia yapo.
First of all hakuna anayesema ushoga haukuwepo toka zamani kinachosemwa ni huko vitendo hivyo kufanywa hadharani kiasi jamii inatakiwa iamini kwamba ni kitendo cha kawaida kumbe ktk mazingira yetu sisi weusi hakitufai hata kido,hata ukiniuliza mimi niliyejitambua 1990s nitakujibu,zamani (nitaizungumzia Dar nilikokaa muda mrefu) mashoga tuliwajua kupitia wale wanaowafahamu,haikuwa rahisi kumuona kijana anatembea barabarani anazungusha kiuno na macho huku mikono akiitupa tupa kama mwanamke akiwa amevaa nguo za kike ila ilibidi mtu akwambie huyu jamaa ni shoga wewe kwa kumuangalia usingemjua.

Hii kwa Kariakoo waliiweza watu wawili tu mmoja akiitwa aunt Kesy mwengine aunt Muu (wote marehemu) na tulikuwa hatuwaoni mchana ni usiku wa saa nne ndiyo walikuwa wanatoka kikike kike but leo kutoka asubuhi mpaka asubuhi tunaona vijana wanazurura wamevaa madera,visket pajama midomo wameipaka rangi etc,huyo Muu niliyemtaja hapo juu sikumbuki exactly mwaka ni kati ya 2002/3 kuna siku alikatiza sokoni Kariakoo na suruali ya kubana akitembea kama mwanamke kama siyo defender la Msimbazi makuli walikuwa wanamtoa roho kwa mawe kama kibaka na kwenye hili tukio alitoka na ulemavu wa mkono.

So zamani kulikuwa na heshima,ujinga wao waliufanyia ndani wakitoka hawakuwa na shida ya kuwaonyesha watu udhaifu wao tofauti na wa sasa wanataka kila mtu awajue ni mashoga.
 
Kiini chote kuanzia wazazi na jamii imechemka kwenye malezi, wazazi wapo busy kutafuta hela,kutoka saa kumi na mbili alfajiri kurudi saa nne usiku wanaonana na watoto weekend.Hawana mda wa kuwasikiliza watoto, kuwafundisha wajijue wao ni wakina nani na wanatakiwa waishi vipi,jando na unyago tumeweka kapuni. Mataokeo yake watoto wanalelewa na watu wa nje, mahouse girl/boys.

Ukija tena huku siku hixi feminism,50/50 zimewafanya wanawake wawe viburi, matokeo yake wanazalishwa na kuachwa. Mabinti wanatamaa ya fedha wanagongwa na kuachwa, matokeo yake mtoto anakuwa bila baba ambaye ni mtu anaye simamia nidhamu ya watoto.Matokeo yake mtoto wa kiume anakuwa hajui wajibu wake na kujijua yeye ni nani na akiendekeza tamaa watu wanapita na marinda yake.

Vijana wote siku hizi wanakimbizana na trend wakati hawana hela, wanataka wavae nguo za brand kubwa kubwa,wamiliki simu kali tena zile latest, wanataka waende viwanja kila weekend ila mfukoni hana kitu. Matokeo yake mtoto wa kike kutembea na vibabu aka sponsor,kujiuza mpaka sometimes kuingiliwa kinyume na maumbile. Mtoto wa kiume nae huangukia kwa mashangazi na kufanya mtumwa wa ngono, japo hufurahia ila hawajaui wanapoteza uanaume wao kwani mwanaume kaumbiwa kutafuta na siku ya kuachwa na hiyo mishangazi wanapagawa, wengine nao ndio hupitiliza mpaka kutoa marinda.Kama jamii kiujumla tukiwajibika tunaweza kupunguza ila ukiangalia huko mbele sijui itakuwaje,Mungu atusaidie kwani ngono imekuwa kitu rahisi mno kupatikana. Kuna shekhe mmoja aliniambiaga itafika kipindi ngono itakuwa rahisi kuliko chakula na ukitizama kweli kwa sasa unaona.
 
Back
Top Bottom