Mazungumzo ya amani, Israel na HAMAS Cairo yanazaa matunda

Hamas kakataa usiku huu Netanyahu kasema anaingia Rafah kutoa Dozi.
 
Hayo mazungumzo yamezaa matunda gani?

Hamas imekataa mapendekezo ya ceasefire. Huenda baadhi ya wale mateka waliohitajika ili kufikia makubaliano walishakufa, hivyo Hamas haina cha kuleta mezani.
 
Unachopenda kuambiwa ni "Netanyahu kaufyata" tu?🤣🤣🤣🤣

1. Nani nimemwomba kunambia hivyo ndugu?

2. Au wewe ni katika hawa;

Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote.
 
Hayo mazungumzo yamezaa matunda gani?

Hamas imekataa mapendekezo ya ceasefire. Huenda baadhi ya wale mateka waliohitajika ili kufikia makubaliano walishakufa, hivyo Hamas haina cha kuleta mezani.

Nisiache kukupongeza: "kwa ujuaji uliopitiliza." JF tuko vizuri.

Hivi:

1. Ulisoma mada hata ukajipa nafasi ya kuielewa lolote ndugu?

2. Kwamba ukatambua kwamba ngoma ilikuwa huku?



3. Kwamba sasa iko hapa:



2. Wapi nilisema HAMAS amekubali?

3. Kwani lini matakwa ya HAMAS yamekuwa tofauti na haya:



4. Kama Israel kawauwa si atavuna mabua? Kwani ni wajibu wa HAMAS kuwaleta hai hata kama Israel angetaka kuwauwa?

5. Kwani wale wa WCK walirejeshwa wakiwa hai?

6. Kumbe basi, hili la kuwa unadhani HAMAS hana cha kuleta mezani unaliokota wapi ndugu? Kwani wewe ni nabii?

7. Hapo #6, si Israel akubali matakwa ya HAMAS ambayo kimsingi ni ya dunia iliyostaarabika na pia ya UNSC, Ili ku-m-prove wrong HAMAS?

8. Kwamba ngoma ilipo Iko hapa:



9. Hadi hapo, una kipi tofauti cha kupingana na mada kama ilivyo tena kwa "kujishasha" hivyo ndugu?
 
Vyovyote ilivyo, Hamas ni mshindi.

Mazayuni wameanza kuondoka mbiombio Ghaza.

Huo ni mwanzo tu wa kuikomboa Jerusalem na Hatimae Makkah na Madina kutoka mikono ya mazayuni.
 
Hakuna sehemu nimeeleza hayo.Huo ni mwandiko na ni kazi ya mikono yako.
 
Hakuna sehemu nimeeleza hayo.Huo ni mwandiko na ni kazi ya mikono yako.

1. Kama ndivyo bila shaka unathibitisha hakuna popote niliposema ulipokuwa umewayaandika.

2. Kwamba unathibitisha pia kwa hakika ufia dini au ujuaji ni kada za kuhurumiwa.

MK254 aione kwa kumbukumbu.
 
1. Kama ndivyo bila shaka unathibitisha hakuna popote niliposema ulipokuwa umewayaandika.

2. Kwamba unathibitisha pia kwa hakika ufia dini au ujuaji ni kada za kuhurumiwa.

MK254 aione kwa kumbukumbu.
Bado ni yaleyale unayarudia kwa kuanzia kulia kwenda kwingine.Nakana maelezo yako.
 
CNN

Israel says it has withdrawn its forces from Khan Younis in southern Gaza, but a "significant" force remains elsewhere in the strip. The country's defense minister said troops will regroup and prepare for new missions, including in Rafah.

hIvi mkuu hizi avatar huwa mnatupia tu kama tai kuwa kesho mnaweza tokea hata na ya ibilisi?
 
Kulingana na taarifa, Hamas imekataa mapendekezo ya ceasefire. Upande wa pili, uvamizi wa Rafah umeshapangwa kutekelezwa.

Hayo mazungumzo yanayozaa matunda ni yapi?
 
Sasa madrassa na kiingereza wapi na wapi.
 
Wale, hususan waizirael, hawaamini mafundisho ya nabii Isa. Wenyewe wanasema mtu akikuramba kibao shavu la kulia, nawe mrambe kibao cha maana. Jino kwa jino. Nabii Isa alivyowapinga tu. Walimmaliza. Hao jamaa siyo watu hao. Ni mzigo kwa dunia.
Huyo nabii Issa na Yesu Kristo ni watu wawili tofauti kabisa. Huyo Issa alizaliwa chini ya mtende wakati Yesu Kristo alizaliwa kwenye hori la ng'ombe 🐮 Two different people.
 
Vyovyote ilivyo, Hamas ni mshindi.

Mazayuni wameanza kuondoka mbiombio Ghaza.

Huo ni mwanzo tu wa kuikomboa Jerusalem na Hatimae Makkah na Madina kutoka mikono ya mazayuni.
Duuuuh! Hivi maka na madina zimeshikiliwa na mazayuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…