Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Safi sana! Netanyahu amesema wanajiandaa kuingia rafa kumaliza ugaidi kabisaBraza acha ngonjera.....wenzio mda huu gaza wanachapika.....na batalioni iliyobaki ni moja tu.....inatoa dozi......zingine zimerudi kambini.
NB: KUJIFARIJI UONGO KULIKO UHALISIA NI UGONJWA WA AKILI BRAZA JEI