Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

Mengi alimtaja kitambo, baadae akajuvua gamba
 
Vp kodi iliyokwepa ameonesha risit zake za malipo ama porojo zimeendelea
 
Wewe ndo mpumbavu kwanza hujulikani halafu ujilinganishe na Polepole?
 
Anakwambia sio kwamba sisikii mnayongea sio kwamba siwezi kujibu lakini naona haina maana hata nikijibu by Jk
 
Wewe ndiyo mpumbavu kweli. Ulitegemea aje kusema Nini? Kwamba Mimi ni mwanamtandao na Huwa tunapanga kuweka watu wetu? Unajua nani kaindaa hiyo interview? Kwanini imeandaliwa? Je media za Tanzania zipo free? Je Rostam ana akili kama zako unayejisaidia kwenye magunzi?
Kila rahisi tu unakuja kumtukana Polepole. Wewe si ng'ombe kabisa. Wajinga ndiyo waliwao
 
Naona kuhusu mtandao kakubali
Na kasema kwenye kugombea nafasi za udiwani,ubunge, urais kuwepo mitandao ni jambo la kawaida πŸ˜„

Ova
 
Rostam anang’aa kama almasi Ila pesa bhn πŸ˜‚πŸ˜‚ ukiwa na kisokolokwinyo na roho za kichawi tulizobeba waTZ wengi huwezi fikia viwango Vya huyu jamaa.
Pesa tamu asikwambie mtu,
Mtu Yuko bungeni tangu 95 na Bado anangaa
 
C &p hahahaaa. πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„
 
Naona kuhusu mtandao kakubali
Na kasema kwenye kugombea nafasi za udiwani,ubunge, urais kuwepo mitandao ni jambo la kawaida πŸ˜„

Ova
ukimsikiliza between the lines alichosema Kingmaker ukilinganisha na mambo mengi anayosema slow slow ni dhahiri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…