Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

Naona kuhusu mtandao kakubali
Na kasema kwenye kugombea nafasi za udiwani,ubunge, urais kuwepo mitandao ni jambo la kawaida πŸ˜„

Ova
Huwezi kugombea hizo nafasi bila kuwa na timu(mtandao),hata kugombea hizo nafasi serikali ya wanafunzi vyuoni huwa kuna mtandao
 
+kichwani yuko vzr,
Mfanyabiashara yyt ukishafika
Level fulani lzm uwe mafia fulani πŸ˜„

Ova
Huyo ukimweka na polepole mjadala, polepole hatoongea kitu,huyo dingi yuko smart upstairs,mimi niliona press zake akimjibu mtikila,mengi na kujivua gamba,huyo siyo level za akina polepole
 
Rostam hata aongee nini Hawaii kumfunika polepole bado anakubalika zaidi
 
Wewe ndiyo mpumbavu mkubwa kumwamini zito ndumila kuweli ni uzwawa na kumsikiliza Rostam mwizi wa Rasilimali za Nchi ni upumbavu zaidi, wewe zuzu juha bakia na mwizi watanzania wenye Akili Timanu wanasimama na haki
 
+kichwani yuko vzr,
Mfanyabiashara yyt ukishafika
Level fulani lzm uwe mafia fulani πŸ˜„

Ova
Ufafia wa kutoa Amri Lisu apelekwe jela hiyo level ya kipumbavu kichwani hsyupo vizuri kwani hana ubinadamu
 
Huyo ukimweka na polepole mjadala, polepole hatoongea kitu,huyo dingi yuko smart upstairs,mimi niliona press zake akimjibu mtikila,mengi na kujivua gamba,huyo siyo level za akina polepole
Kwa Akili zako ndogo kama kuku ndiyo unamuona ana level kubwa lakini kwa wenye Akili Timanu huyo Rostam Aziz hana uwezo wa kujibu chochote zaidi ya kujishaua shaua tu
 
Huyo ukimweka na polepole mjadala, polepole hatoongea kitu,huyo dingi yuko smart upstairs,mimi niliona press zake akimjibu mtikila,mengi na kujivua gamba,huyo siyo level za akina polepole
Kama zile tuhuma za ufisadi hazikuwa na ukweli kwa nini alijivua gamba ? Huyu Ponjoro anawabebesha Madodoki na Sabuni kina Balile kwa ajili ya kumsafisha na tuhuma za ufisadi, ukiona unahatarisha maslahi yake yupo tayari kuua.. muulize Kubenea na issue ya kumwagiwa tindikali !
 
Cum toilet, Cum pharmacy..!!
Nimechoka zaidi nilipoona kopo la rungu 😹
Lamomy kwaio sisi tunao ishi store umeamua kutuletea MADHARAU eeeeeeee πŸ˜πŸ€£πŸ˜‚

Ila wewe ni mtu mbadiiii πŸ€“
 
Baba yako na mama yako ni watu makini wameyasikiliza!
 
Lamomy kwaio sisi tunao ishi store umeamua kutuletea MADHARAU eeeeeeee πŸ˜πŸ€£πŸ˜‚

Ila wewe ni mtu mbadiiii πŸ€“
😹😹😹 Huyo jamaa ana trauma ya maisha anayopitia that’s why nimemshauri apambanie reforms..!!
 
Nikajua ni live kumbe ishafanyiwa editing
Hawezi kwenda live, na nimesikiliza kidogo sijasikia baba yake alikuwa na biashara gani huko igunga ambazo amejinasibu ali take over na kuwa kubwa.

Tumesikia hakina Bakhresa alipoanzia, Mengi, Dewji ila huyu ana historia?
 
Reactions: Lax

ndo naanza kusikiliza hapa mitaa ya youtube
 
ndo naanza kusikiliza hapa mitaa ya youtube
Leta dondoo baada ya kumaliza mkuu maana nimesikiliza kidogo kwenye intro lakini sijasikia biashara ya wazazi wake zilikuwa wapi na aina gani?
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…