Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ndio faida ya kuchagua ccmMida hii mtaa ya mbagala watu wanaiba sementi baada ya gari lililokuwa limebeba mzigo huo kuacha njia na kugonga watu na nyumba.
Bado haijafahamika idadi ya watu waliofikwa na mauti au majeruhi zoezi limetatizwa na idadi ya vijana waliojazana badala ya kuokoa wanaiba sementi.
Mida hii ndio polisi wa doria wanafika
Hii tabia ya wizi kwenye ajari na bado hatujakoma tu, nImekumbuka siku gari lililosheheni vileo lilipoanguka na wanakijiji wakaanza kula ulabu polisi waliofika wakakuta mtaa mzima watu wamelewa.
USSR
Mkuu sio hali ngumu ila Wabongo tumeendekeza sana tamaa.Baada ya kutokea ajali ya gari la mizigo barabara ya Kilwa. Watu badala ya kumuokoa dereva na utingo wake wamekimbilia kuzoa sementi.
Hii ni dalili tosha kuwa watanzania kwa sasa wana hali ngumu ya maisha. Wakati tunajisifia kukuza uchumi wakati mifukoni tupo pyeeeeeee.
Kwahiyo unataka kutwambia kuwa wabongo tuna maisha bora kabisa kwa maana ya kuwa na kipato cha uhakika?Mkuu sio hali ngumu ila Wabongo tumeendekeza sana tamaa.
Watu washajichokea mzee.Hii mbaya sana watu wanaiba live
That's not fair bana, huo ni wizi tukufa kufaana bibi bomba
hata siku ukifa watu watapika pilau na bia
usisahau mziki mkuuuuuubwaa
kaibiwa nani ?That's not fair bana, huo ni wizi tu
Unaokotaje mali ya watu weweTofautisha wizi na kuokota
Tabia za ajabuThat's not fair bana, huo ni wizi tu
Hata mamayako nimemuona hapo ameiba mitatu.Vijana wa chadema hawa
USSR
Mwenye mali, kwani wanachukua kama ni mali yao hiyo?kaibiwa nani ?
Nami aliyekudanganya? Katika high temperature diesel inawaka sana. Una umri gani? Kuna ajali za mabasi makubwa na malorry, yote yanatumia diesel lakini yamewahi kuwaka moto.Malori yote hutumia diesel,diesel hailipuki kama petrol,acha watu wajiokotee cement
Huo ni wizi usitafute sababu yakuhalalisha dhuluma ingekuwa ni mali au mzigo wako umeanguka na watu wakaushambulia hivyo wewe ungejisikia namna ganiAfrika nzima hakuna sehemu roli likaanguka ns bidhaa watu wasiokote ,so kwa mila zetu huo sio wizi
Hahahaaaa...... Nimewahi mifuko 20 bwashee
Chakuokota siyo cha kuiba lknHahahaaaa...... Nimewahi mifuko 20 bwashee
Nitaileta hapo Ufipa tujenge kibanda cha Walinzi.