Mbali na kura za UN kupinga uvamizi wa wayahudi huko Gaza, Israel hajali, Kwani hii nchi ya Wayahudi inanguvu kiasi gani?


Zile alakbar na kelele za shangwe za tarehe 7 mwezi wa 10 ,zimepotelea wapi mbona sizisikii badala yake na sikia vilio na uchungu.

Hakika njia bora ya kudeal na magaidi ni kuyapiga bila huruma.
 

Kwamba USA hajawahi kushinda popote umezaliwa jana ama?
 
Ukiongea jambo ina bidi ulete na ushahidi na sio kutoka kichwani mwako.
 

Ndio walioshikiria uchumi wa dunia na teknolojia.
 
Mnailaumu Israel ila hamkuona ugaidi wa Hamas mnaongea unafiki

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Mwenyewe ni mwepesi mno.

Ukimgusa Myahudi umeigusa ROMA ipo wazi.
 
WAULIZE MAARABU NA MAZUNGU NA MARUSI NA MACHINA KUHUSU MAYAHUDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…