Mbali na kura za UN kupinga uvamizi wa wayahudi huko Gaza, Israel hajali, Kwani hii nchi ya Wayahudi inanguvu kiasi gani?

Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa

Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie kati, kwa sababu ya uswahiba wa nchi hii ya kiyahudi na US, lakini wapi, Israeli ni nani?

Hata hivyo, naweza sema, UN ndio wanaowajua vema hawa Mayahudi, nguvu yao kijeshi, umhimu wao kwenye umoja wa Mataifa kwamba wao ni kina nani na wanamadhara gani katika karne hii ya 21, kura zaidi ya 72% zimeonyesha kupinga uvamizi wa Israel huko Gaza

Matokeo yake ndio kwaanza, vijamaa vinaendelea na mauwaji ya khalaiki huko Gaza

Wafanya kazi wa umoja wa mataifa wanauwawa, wanahabari wanachinjwa, watoto wadogo pia ukiachia mbali magaidi ya hamasi yanavyokufa kama kumbi kumbi

Nchi za Kiarabu bila shaka nao wanawajua vema hao Mayahudi, hakuna nchi inayopiga yowe juu ya mayahudi hayo ya Kiisrael

Israeli ni kina nani?

Nguvu yao, umhimu katika umoja wa mataifa ni kina nani haswaa?

Zile alakbar na kelele za shangwe za tarehe 7 mwezi wa 10 ,zimepotelea wapi mbona sizisikii badala yake na sikia vilio na uchungu.

Hakika njia bora ya kudeal na magaidi ni kuyapiga bila huruma.
 
Maamuzi ya hilo kundi linalojiita UN ndo yatatuonesha kama kweli walikuwa wafanyakazi wake. Na kama litakaa kimya, basi tutajua ni maigizo.
Kwani anayesukuma huko ni nani kama si USA? Mliwahi kuona USA ina huruma popote? Uzuri ni kwamba haijawahi kushinda vita yoyote.

Kwamba USA hajawahi kushinda popote umezaliwa jana ama?
 
Israel ni marekani
80% ya matajiri wa makampuni makubwa duniani ni wayahudi wamewekeza Kila kona ya Dunia
Hauwezi kuwa CANDIDATE wa uraisi marekani
Bila mkono au NGUVU ya matajiri wa kiyahudi
Kwan wao ndo wanaoshika NGUVU ya kiuchumi kwa kumiliki hisa nyingi katika makampuni makubwa marekani
Even kampuni kubwa 2 duniani zenye mkwanja mrefu wanazimiliki wao
Kwa yoyote anayependa kuendelea kuwa na UCHUMI imala katika nchi yake hawezi kumess nao
Ukiongea jambo ina bidi ulete na ushahidi na sio kutoka kichwani mwako.
 
Ni swali ambalo kila mwenye akili timamu atajiuliza. Actually children are dying, innocent women are dying lakini
Mastaa wakubwa huko ulaya na marekani ambao ni mabingwa wa kuonesha sympathy kwenye matukio kama haya,wote wamepiga kimya as if nothing happens.
Ukithubutu kuwakosoa kama huko ulaya,unaliwa kichwa chap.
Marekani inawatumikia kama watoto wao, actually marekani ni kama ipo controlled na hawa watu.

Who are these guys???

Ndio walioshikiria uchumi wa dunia na teknolojia.
 
Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa

Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie kati, kwa sababu ya uswahiba wa nchi hii ya kiyahudi na US, lakini wapi, Israeli ni nani?

Hata hivyo, naweza sema, UN ndio wanaowajua vema hawa Mayahudi, nguvu yao kijeshi, umhimu wao kwenye umoja wa Mataifa kwamba wao ni kina nani na wanamadhara gani katika karne hii ya 21, kura zaidi ya 72% zimeonyesha kupinga uvamizi wa Israel huko Gaza

Matokeo yake ndio kwaanza, vijamaa vinaendelea na mauwaji ya khalaiki huko Gaza

Wafanya kazi wa umoja wa mataifa wanauwawa, wanahabari wanachinjwa, watoto wadogo pia ukiachia mbali magaidi ya hamasi yanavyokufa kama kumbi kumbi

Nchi za Kiarabu bila shaka nao wanawajua vema hao Mayahudi, hakuna nchi inayopiga yowe juu ya mayahudi hayo ya Kiisrael

Israeli ni kina nani?

Nguvu yao, umhimu katika umoja wa mataifa ni kina nani haswaa?
Mnailaumu Israel ila hamkuona ugaidi wa Hamas mnaongea unafiki

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Mwenyewe ni mwepesi mno.

Ukimgusa Myahudi umeigusa ROMA ipo wazi.
 
Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa

Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie kati, kwa sababu ya uswahiba wa nchi hii ya kiyahudi na US, lakini wapi, Israeli ni nani?

Hata hivyo, naweza sema, UN ndio wanaowajua vema hawa Mayahudi, nguvu yao kijeshi, umhimu wao kwenye umoja wa Mataifa kwamba wao ni kina nani na wanamadhara gani katika karne hii ya 21, kura zaidi ya 72% zimeonyesha kupinga uvamizi wa Israel huko Gaza

Matokeo yake ndio kwaanza, vijamaa vinaendelea na mauwaji ya khalaiki huko Gaza

Wafanya kazi wa umoja wa mataifa wanauwawa, wanahabari wanachinjwa, watoto wadogo pia ukiachia mbali magaidi ya hamasi yanavyokufa kama kumbi kumbi

Nchi za Kiarabu bila shaka nao wanawajua vema hao Mayahudi, hakuna nchi inayopiga yowe juu ya mayahudi hayo ya Kiisrael

Israeli ni kina nani?

Nguvu yao, umhimu katika umoja wa mataifa ni kina nani haswaa?
WAULIZE MAARABU NA MAZUNGU NA MARUSI NA MACHINA KUHUSU MAYAHUDI
 
Back
Top Bottom