Mbali na kura za UN kupinga uvamizi wa wayahudi huko Gaza, Israel hajali, Kwani hii nchi ya Wayahudi inanguvu kiasi gani?

Mnailaumu Israel ila hamkuona ugaidi wa Hamas mnaongea unafiki

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Mpk sasa wameshikilia mateka. Unafikiria UN itakuwa ina nguvu?
Hapo wanaona ni sawa na kumtetea gaidi kwasababu wanakuonea huruma bado mateka unao licha ya kichapo lkn bado mateka unao.
Hapo kuna msaada gani?
 
They are blessed Nation amongst all Nations over the whole world...[emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
SIO WASWAHILI BALI SEMA WAKRSTO WAPENTEKOSTE.
NB: WAISLAMU NA WAARABU WAMEJITAHIDI SANA KUOMBA MSAADA WA WAKRSTO ILI WAWACHUKIE WAYAHUDI LAKINI HAIWEZEKANI
Lakini hao wakristo wasio wachukia wayahudi ndo wenye historia ya kufanya maangamizi dhidi ya wayahudi.
 
They are blessed Nation amongst all Nations over the whole world...[emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
My belief against the bible God go so strong when I see such kind of comments like yours especially from the God believer who i know like you.
Ina maana huyo mungu mwenye kubariki, baraka zake zipo kwenye mauaji ya wasio na hatia yanayo fanywa na hawa watu??
Actually, whoever preach god and then he says god of Israel akiwa amevaa na mabendera yake (as a lot of christians do),mimi humdharau sana huyo mtu na Mungu wake wa kipumbavu.
Mungu wa kupuuzwa sana huyo, foolish and so cruel.
 
Shida ipo tena kubwa.
Una mateka halafu hutaki kuwaachia.
1. Unategemea UN itakuwa na nguvu?
Israel amesema, hawezi kusitisha vita mpk mateka wote wapatikane
Shida ni ya nani mkuu?

UN ipo pale kwa lengo la kufanikisha na kueneza propaganda pamoja na Agenda za mataifa ya kibepari.

Taifa lolote (bila ya kujali idadi) litakalokuwa kinyume na ubepari halina kauli mbele ya UN.

Mataifa ya kiafrica na yale ya kiarabu ambayo hayajakubali kuungamanishwa na UN=USA=ISRAEL si chochote mbele ya UN.

Hiyo issue ya HAMAS kuwa na mateka 240 wa mataifa mbali mbali hata kiongozi mkuu wa HAMAS Moussa Abu Marzouk haelewi imekaa je?
 
Lakini hao wakristo wasio wachukia wayahudi ndo wenye historia ya kufanya maangamizi dhidi ya wayahudi.
WAKRSTO WAPI MKUU WATAJE???
NB: WAARABU NDIO WAMEFELI KUWAANGAMIZA WAYAHUDI SINCE 1967
 
🀣🀣🀣 MKUU KWAHIYO ABU MARZOUK HAELEWI KUA ALITEKA WATU GANI
 
Wanajifanya hawaelewi?Wataelewa tu
Kauli ya Israel ni "hawezi kusitisha vita mpk mateka wapatikane wote".
 
🀣🀣🀣 MKUU KWAHIYO ABU MARZOUK HAELEWI KUA ALITEKA WATU GANI
Wanaaminisha watu kuwa waone waisrael ni wabaya wakati ubaya waliutafuta wao.
Kipindi HAMAS walienda kuua na kuchukua mateka walishangilia sana mpk Faiza alitoa uzi humu kuwapongeza HAMAS ila sasa wamesahau kwa ubaya waliofanya unawarudia
 
Pole sana
 
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…