Mbali na kura za UN kupinga uvamizi wa wayahudi huko Gaza, Israel hajali, Kwani hii nchi ya Wayahudi inanguvu kiasi gani?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] MKUU KWAHIYO ABU MARZOUK HAELEWI KUA ALITEKA WATU GANI

Ee, yaani hata hao HAMAS wamefanyiwa sarakasi moja hawatokuja kuisahau. [emoji23]

Nilikuwa nikifuatilia mahojiano aliyoyafanya, Moussa Abu Marzouk anakwambia kuna makundi mengi yanayowajibika pale Gaza na yanajitegemea.

Hivyo mateka wengine wamekamatwa na makundi hayo kama lile la Palestina Islamic Jihad pamoja na Qassam na wamefichwa katika maeneo tofauti ambayo ni siri. Ila mzigo wote amebebeshwa HAMAS.

Kwa akili za kawaida kabisa ukitazama response ya Israel dhidi ya uvamizi wa October 7 utagundua HAMAS aliingizwa mkenge na huenda ulikuwa ni mpango wa siri wa muda mrefu uliosukwa kitaalamu.

Wrong move ya HAMAS imepelekea kuwakaribisha Askari wa Israel pale Gaza na katu hawataondoka hata baada ya HAMAS kuondoshwa.

Yaani HAMAS wameyatimba na watasema.
 
Mkuu umeongea pointi na nimecheka sana interview ya huyu jamaa.
Ni bora
asingekubali kuhojiwa maana hakujiandaa
 
Mkuu umeongea pointi na nimecheka sana interview ya huyu jamaa.
Ni bora
asingekubali kuhojiwa maana hakujiandaaView attachment 2806729
Waarabu ni kama waafrica tu hatuaminiki, usikute huyu ndiye pandikizi nambari moja kwenye mkakati wa kuisambaratisha HAMAS.

HAMAS wenyewe hawaitaki tena hii vita ni vile maji walikwisha kuyavulia nguo.

Kuna usaliti mkubwa sana katikati yao.

Na Israel lazima watumie nguvu kubwa katika kuisambaratisha HAMAS ili kutuma salamu kwa makundi mengine ya Kigaidi yanayoishukia Israel.
 
Israel haiwezi kusimamisha operesheni Sasa hivi kisa international community kuongea au kuwasusia. Wanachotaka ni mateka wao warudishwe ndio mashambulizi yaishe na wakiamua kusimamisha mashambulizi Sasa hivi itakua kama kazi Bure wamefanya na kufeli. Mateka wa watu warudi.
 
Akaulizwe

Maana yeye ndiye aliyeumba na ndiye awezaye kutoa uhai tena

Kwa nini anaruhusu hayo?
 
Unaweza kuwataja au umekaririshwa hilo?
 
Oky
 
Saudia epicenter of islam ndo kwanza yupo kwenye Halloween anarendemka.
 
WAKRSTO WAPI MKUU WATAJE???
NB: WAARABU NDIO WAMEFELI KUWAANGAMIZA WAYAHUDI SINCE 1967
Kumbe Hitra alikuwa ni muislam?

Hakuna sehemu ambapo waisilam walisha taka kuwaangamiza wayahudi maana kwenye nchi za muislam kama misri,Iran kumejaa wayahudi na hawajawauwa.
 
Kumbe Hitra alikuwa ni muislam?

Hakuna sehemu ambapo waisilam walisha taka kuwaangamiza wayahudi maana kwenye nchi za muislam kama misri,Iran kumejaa wayahudi na hawajawauwa.
MKUU KUMBE HATA HUJUI
WAPI HITRA ALISEMA YEYE MKRSTO???
WAPI MKUU???
 
Kwa kuongeza. Miaka fulani nilisoma sehemu kuwa, kuna Wayahudi wengi ambao ndio wameshikilia vitengo vyote nyeti vya USA, kutokana na uwezo wao kiakili. Hili la kiakili sijui mimi, huwa nalisikia tu.

Kwa mantiki hiyo, kama ni kweli, lazima wafanya maamuzi wa USA ambao ndiyo Wayahud hawawezi kufanya maamuzi ya kuwakandamiza ndugu zao walioko Israel.
 
Hiyo Vita Ni ya Ayatollah wa Iran kwa maslahi yake ya kiuchumi.

Na pia maslahi ya Hamas wenyewe kutengeneza utajiri.

Iran wanaendesha Hamas, Hizbollah na vikundi vingine vya Syria, Irak nk
 
Unaweza kuwataja au umekaririshwa hilo?
Usiwe mbishi, teknolojia kubwa zote duniani nyingi wamefanya Israel. Na ndiyo wamejaa Marekani.

Hili dunia inajua.

Marekani inaikumbatia Israel si kwa sababu za kidini km wengi wanavyoamini, Bali Ni kiuchumi zaidi.
 
Gunduzi nyingi za kisayansi na kiteknolojia pale Marekani Ni Hawa jamaa wanafanya. So hata Siri nyingi za zana za kijeshi za Marekani Hawa jamaa wanazijua na Ni wao wagunduzi.

Hapa hamna dini Kati ya USA na Israel km wengi waaminivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…