Mbali na kura za UN kupinga uvamizi wa wayahudi huko Gaza, Israel hajali, Kwani hii nchi ya Wayahudi inanguvu kiasi gani?

Naomba ujifunze kwanza kuandika
 
Hiyo Vita Ni ya Ayatollah wa Iran kwa maslahi yake ya kiuchumi.

Na pia maslahi ya Hamas wenyewe kutengeneza utajiri.

Iran wanaendesha Hamas, Hizbollah na vikundi vingine vya Syria, Irak nk
Kwa sasa si muda sahihi wa Iran kuingia vitani dhidi ya mataifa ya Magharibi.

Ayatollah mefanya makosa, Gaza sasa inaenda kukaliwa kimabavu na Israel na hapana awezaye kuzuia.
 
Ina maana Urusi, Israel au Marekani hawezi kudakwa na Mahakama ya Kimataifa (ICC)?
Wasipodakwa nitashangaa sana.
 
Obama hakupata hiyo nguvu na hata huyu Netanyau alikuwa na dharau sana kwa Obama. Aliwahi kwenda kuhutubia bunge la Seneti Marekani bila hata kwenda white house kuonana na Obama.
 
Nyuzi za kitoto. Toka lini UN akawa tishio? UN ipo kimagumash
TUnaingia vp UN kupiga kaz na sisi wabeba tofari ndio la kujadili ili tukale ela za bwerere za wazungu
 
Kwamba USA hajawahi kushinda popote umezaliwa jana ama?

Ilishinda vita wapi na lini? Tuanzie na vita vya Vietnam vya 1973 ambavyo hata wengi humu wanavijua ambapo Marekani ilichakazwa vibaya sana! Tuambie ni vita vipi unavyovijua mwenzetu ambavy Marekani amewahi kushinda, maana mimi nina miska 65 hapa, naijua Marekani.
 
Kwa hiyo ww ukiona mtu ana ndevu basi ni muarabu? Basi na yesu alikuwa mwarabu sasa.

Zile za akina Yesu ni michoro tu, hakuna anayeijua sura ya Yesu wala ya bikira Maria wala ile ya Yuda Iskariote aliyetundikwa na Yesu msalabani. Ila kwa ndevu upo sahihi, mimi mwenyewe hapa nimefuga ndevu balaa lakini siyo mwislamu.
 
Wewe una mateka halafu hutaki kuwaachia na unategemea adui yako asisitishe vita?
Ben amesema
Hawezi kusisitisha vita mpk mateka wapatikane.

Bora asitishe maana inaweza kutokea bahati mbaya akatwanga na makombora magaidi ambao wapo na mateka na wote wakafa, sasa hapo atakuwa ameoata faida gani.
 
SIO WASWAHILI BALI SEMA WAKRSTO WAPENTEKOSTE.
NB: WAISLAMU NA WAARABU WAMEJITAHIDI SANA KUOMBA MSAADA WA WAKRSTO ILI WAWACHUKIE WAYAHUDI LAKINI HAIWEZEKANI

Modern Israel was created in 1948 after a United Nations agreement with the British created the State of Israel. Ancient Israel and Modern Israel are considered different civilizations with their own unique features, though they do share religious and historical connections.
 
They are blessed Nation amongst all Nations over the whole world...[emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Modern Israel was created in 1948 after a United Nations agreement with the British created the State of Israel. Ancient Israel and Modern Israel are considered different civilizations with their own unique features, though they do share religious and historical connections.
 
Lakini hao wakristo wasio wachukia wayahudi ndo wenye historia ya kufanya maangamizi dhidi ya wayahudi.

Modern Israel was created in 1948 after a United Nations agreement with the British created the State of Israel. Ancient Israel and Modern Israel are considered different civilizations with their own unique features, though they do share religious and historical connections.
 
Hii mada imekuzidi umri, hata kuandika tu hujui kiharabu ndiyo nini sasa? Sembuse kujadili mada Kama hii?

Any way ngoja tu nikusaidie japo kidogo; Israel walizuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza, wakakata huduma ya maji, umeme na internet. Wakasema hadi mateka waachiwe ndo wataruhusu misaada na huduma zingine kufika Gaza.

Lakini wakasema hata Kama mateka wataachiwa no cease fire, wanataka kuisafisha Gaza kwa kuisambaratisha hamas ili kujihakikishia usalama wa kudumu.
 
Kimsingi azimio lolote lisipoungwa mkono na USA hapo UN, linakosa nguvu katika utekelezaji wake. Remember hata uvamizi wa Libya na Iraq ulipingwa na baraza la usalama la UN, lakini bado Marekani na maswahiba wake walitekeleza uvamizi huo na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa na UN.

Kifupi UN bila USA ni toothless dog[emoji240].
Mfano mwingine angalia vikwazo dhidi ya Iran siyo vikwazo vya UN lakini kwa sababu USA amemuwekea Iran vikwazo na hata kushinikiza makampuni na mataifa mbalimbali kutofanya biashara na Iran, vikwazo hivyo Sasa vinatekelezwa utadhani vimewekwa na UN.
 
Bora asitishe maana inaweza kutokea bahati mbaya akatwanga na makombora magaidi ambao wapo na mateka na wote wakafa, sasa hapo atakuwa ameoata faida gani.
Kwanini asitishe wakati yupo vitani kukomboa mateka?
 
Nguvu ya myahudi ni USA bila taifa hili dhalimu israel mchumba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…