Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
UN na mataifa ya kiharabu ni wanafiki wote, IDF walishasema mateka wakiachiwa na wao wanasitisha mashambulizi huko gaza, lkini hakuna nchi inayolaani uvamizi wa magaidi huko Israel wala kutaka mateka kuachiwa huru ila wanataka uvamizi kusitishwa! Swali la msingi, hamas ni serikali ya kigaidi, iliyovamia Israel na kuteka watu na kuua raia wasio kuwa na hatia, na tunaposema serikali ya hamas maanke ni kuanzia watendaji wa vijiji, watumishi wa umma, polisi, na kilq mfanyakqzi wa hamas, hivyo huwezi kutenganisha magaidi na watoto, watu wazimq, wamama, madokta nk! Na magaidi hao hawapo sehemu maalum wamejificha humo humo, wana watoto, wanakula na wake zao, wanafanyq shughuli pamoja, OK hao UN waseme hao magaidi wako wapi basi ili IDF Ipeleke mashambulizi yake huko!! Dawa pekee mm naona ni umoja wa mataifa pamoja na raia wa Hamas kupigq kilele mateka wa kiyahudi kuqchiwq huru, au kusaidia upatikanaji wao, baada ya hapo ndo wapige kilele za vita kusitishwa, vingine hayo matamko ya udini, ni chura kumpigia kilele ngombe akijua atamzuia kunywa maji , kitu ambacho hakiwezekani
Naomba ujifunze kwanza kuandika