Mbali na uongozi, mashabiki wa Simba nao ni wa kulamiwa kwani walikuwa hawataki kukubali timu yao ni mbovu na hoja yao ikawa ni Yanga wananunu mechi

Aya ya Mwisho unasema; Yanga bado inajitafuta!
Basi endeleeni kujitafuta.
Vip kule CAF lile goli la Mamelodi mmefikia wapi ile rufaa yenu? Mlituambia lazima mcheze Nusu Fainali gemu lini? Wazee wa MaRufaa na kujitafuta. Inabidi CAF wafungue jalada maalum la Utopolo na ujinga wao.
 

Ndio tunajitafuta kwa kupambana kuwa bingwa wa NBC na FA msimu huu na ndio malengo ya Yanga msimu huu. Vipi mwenzetu hautaki kuingia mashindano ya CAF kwa tiketi ya kuwa bingwa?

Aliyekwambia kuwa lazima kucheza nusu fainali ndio umfate ukamuulize hilo swali. Unazungumzia ujinga hivi kuna ujinga uliyofanyika zaidi ya ule wa kuletewa Manzoki kwenye uchaguzi?
 
Huwa nafurahi kuona mpambano wa hoja wa wenye akili wawili vs Mbumbumbu..hahaha..hapo huwq napata kipimo cha mtanzania
 
Duh ama kweli! Mashabiki ya madunduka nayo ni tatizo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo waleee....
 
Hapa ndipo ulipodhihirisha viongozi wenu wanafanya vitu kwavile wameshaona ni mambumbumbu. Kutoka hadharani kusema kuwa ni mafanikio ya msimu ni Whatsapp channel, kibegi, n.k ni kutokana na umbumbumbu kama huu ulionesha hapa.
 

Attachments

  • IMG_20240501_075748.jpg
    361.5 KB · Views: 2
Toilet Paper ni Andazi tumepa timu aifundishe kwa mechi zilizobakia!
 
Una hoja.
 
Kuna kipindi walipiga bakora shabiki atakae onekana anakosoa team pale taifa
Ujinga kabisa
Sasa wanatamba na makombe yanayoanzishwa bila taarifa hata Ile ramadhani cup ni basi tu ila walitamani washiriki na Aweso cup kule Tanga
 
Duh, 7-2 inauma aisee sikujua!! Makombe ya tournaments!!
 
7_2
 
Rage alikuwa sahihi kuwapa cheo cha mbumbumbu
 
Kama Mangungo yuko madarakani kwa kura za makolo baada ya kumleta Manzoki jukwaani its obvious tatizo la simba ni mashabiki wake.
 
Mambo ya Ubuntu Botho ndio yaliyowafelisha mkajikuta Mwarabu anawechezea ghetoni kwenu na kwake.
 
Sidhani kama kuna ujinga utakuja kuvunja rekodi zaidi ya ule wa Manzoki.
 
Hapa ndipo ulipodhihirisha viongozi wenu wanafanya vitu kwavile wameshaona ni mambumbumbu. Kutoka hadharani kusema kuwa ni mafanikio ya msimu ni Whatsapp channel, kibegi, n.k ni kutokana na umbumbumbu kama huu ulionesha hapa.
Wenyewe wanaita "Whatsup". Mbumbumbu noma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…