Aya ya Mwisho unasema; Yanga bado inajitafuta!Kwasasa Yanga haina kitu ila bado inapigania malengo yao ya msimu huu.
1) Klabu bingwa kucheza makundi [emoji736]
2) Kombe la FA bado yupo mashindanoni hatua ya robo fainali na kesho wakishinda wanaenda nusu fainali.
3) ligi kuu Tanzania bara bado yupo kwenye mbio za kutetea akiwa kamwacha point 8 timu ya pili.
Hi7vyo Yanga bado yupo katika harakati za kutimiza malengo yake ya msimu huu.
Nyie kama mpaka sasa mmeshatimiza malengo yenu mpaka sasa basi ni jambo la kumshukuru Mungu katika hilo kwasababu kila timu na mashabiki wake inapoanza msimu huwa na shauku ya kuona wanapata makombe yapi.
Hivyo hongereni kwa kutimiza malengo yenu hadi sasa kwa kuwa mabingwa wa Muungano, mshindi wa pili wa Mapinduzi na mshindi wa ngao ya jamii.
Yanga bado inajitafuta kutimiza malengo yake ya msimu huu japo bado hayuko mbali endapo juhudi zao za upambanaji utaendelea.
Basi endeleeni kujitafuta.
Vip kule CAF lile goli la Mamelodi mmefikia wapi ile rufaa yenu? Mlituambia lazima mcheze Nusu Fainali gemu lini? Wazee wa MaRufaa na kujitafuta. Inabidi CAF wafungue jalada maalum la Utopolo na ujinga wao.