Safari ya Magufuli kuhamia Chato, jamani jamani Mama yake mzazi mahututi hospital mlitaka ashinde Dar au Dodoma kufanya nini? halafu haikuwa muda mrefu hivyo, pengine alikuwa likizo
Zaidi ya hapo hata Mwalimu alikuwa na Utaratibu wake kwenda kwao Kupumzika kama ilivyo kwa viongozi wengi wa Ulaya. Mawaziri walikuwa wanasafiri kwenda Butiama kumuona. Kwa nini mnazusha habari ambazo hazina ushahidi ili kutuaminisha nini?
Angalia mnavyojenga hoja zenu. Yaani Covid iwe Tanzania nzima isifike Chato kwa sababu gani? Hao Madaktari au Uchwara! Nani alosema Chato ni salama kuliko Dar au Dodoma?
Tena nikwambie kitu, mtu wa kwanza mimi kumsikia akisema Magufuli hatunae tena ni Tundu Lissu, alipata wapi taarifa hizo kama sii Mhuni. Yaani mtu yuko Ulaya anayajua ya Tanzania kuliko wenyeji?
Siku za nyuma Magufuli akiwa Chato, Lissu alikuwa anahoji Magufuli kwa nini kurudi Dar anajificha Chato! Anaogopa nini yaani wakamvuta mpaka akaja Dar. Ndio hakuondoka tena. Very suspicious events happened.
Narudia kusema mnajatibu kila njia ku twist maneno yangu lkn Ukweli itaweka HURU kwa sababu nilisema kweli mnaitaka Tanganyika kwa sababu Samia ni Mzanzibar?Hatujadbailisha, umesema wewe! soma hapa chini
Risasi ya Tundu Lissu ipo katika Uti wa mgongo! si kwenye kinyeo kama unvyoaminisha umma
Unachokifanya ni maximu character assassinations! kwamba anatembea na risasi iliyokwama matakoni!
Dah mkuu, tuna mengi ya kujadili...
Mkuu Serikali ilitetea jaribio la Tundu Lissu kwa story tofauti, haikukanusha. Unakubuka Bungeni Mbunge wa Siha Molel alisema ni CHADEMA na imebaki kwenye hansard hadi leo. Unakumbuka serikali ilikuwa inamtafuta dereva wa Lissu ikiwa ni njama za kutaka kumbambikia maneno au kumlazimisha aseme wanayotaka akiwa chini ya ulinzi. Kama hawakuwa wao kwanini walizuia uchunguzi? Kwanini waliondoa Camera? kwanini waliondoa walinzi!
Wahuni wakiwa na Landcruiser! Wahuni wakiwa na SMG! Wahuni wakiwa na Uniform!
SSH alisema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi, na wakati huo alikuwa Amir Jeshi mkuu! kwamba maagizo waliyotoa yalikuwa sahihi. Mkandara Wahuni ni akina nani!nani kiongozi wao?
Ndivyo ilikuwa plan, yaani ni kosa kusema wamefanya nini
Jumbe alikuwa Mzanzibar, Marhum Shaaban Mloo alikuwa Mzanzibar, Marhumu Ramadhani Faki alikuwa Mzanzibar, Maalim Seif marhum alikuwa Mzanzibar, Juma Duni haji ni Mzanzibar, Jussa Ismail Ladhu ni Mzanzibar, Himid, Masooud ni Mzanzibar, Hassan Ghassany ni Mzanzibar, Mohamed Rajab ni Mzanzibar! Marhum Mohamed Reza ni Mzanzibar. Hawa ndio WAASISI wa Tanganyika irudi kwanza tuwe na muungano wa HAKI.Narudia kusema mnajatibu kila njia ku twist maneno yangu lkn Ukweli itaweka HURU kwa sababu nilisema kweli mnaitaka Tanganyika kwa sababu Samia ni Mzanzibar?
Hewaa kumbe siyo DINI wala Uzanzibar! Mkapa Je, Mwinyi Je, Kikwete Je! mbona hujawatajaNa hata Magufuli nikasema nyi ndio mlompanjina la Sukuma gang mkisema Serikali yale wamejaa Wasukuma. Nyerere mkamwita Mchonga meno! Wenye tatizo ni nyie. Mnatazama watu kwa Asili yao badala ya Utanzania.
Hivi unaamini kuna mtu anaweza kukutandika risasi ya kukuumiza bila kukuua!Haya nimesema Wahuni walotaka.kumuua hawakuwa professional ama Usalama kwa kuenga Matako yake badala ya Kichwa au Kifuani. Nanhata kipande cha risasi kilichobakia ni pembenichini kiunini karibu na Tako.
Kikubwa nilichotaka kuonyesha ni tofauti ya Muuaji alotumwa na mamlaka na mtu mwenye nia ya kumuumiza tu na kutia doa Utawala wa Magufuli. Hii ndio mtazamo wangu mimi na hakuna mtu anaweza nishawishi tofauti unless aje na Ushahidi.
Hotuba ya lini na ipo wapi! Hivi ungeambiwa Tundu Lissu alisema amejichapa risasi za matakoni mwenyewe ungeamini! Maana yake kila unachoambiwa unameza tu!Naambia hata Tubdu Lissu katika.moja ya hotuba zake amewahi kusema kitu kama Magufuli hakuhusika. Mimi sijawahi kuisikia lln ndio nimehakikishiwa hivyo.
Yes Tanganyika! kama ilivyokuwa kabla ya April 26 1964 ili watu wasijifiche kwenye chaka la Tanzania nasisi tumo.Endeleeni kudai hiyo Tanganyika yenu ya 1890! Mimi naijua Tanzania hata kama Muungano utavunjika Bara tutaendelea kuitambua Tanzania sio jina tulopewa na MKOLONI..
Narudia kusema mnajatibu kila njia ku twist maneno yangu lkn Ukweli itaweka HURU kwa sababu nilisema kweli mnaitaka Tanganyika kwa sababu Samia ni Mzanzibar?
Na hata Magufuli nikasema nyi ndio mlompanjina la Sukuma gang mkisema Serikali yale wamejaa Wasukuma. Nyerere mkamwita Mchonga meno! Wenye tatizo ni nyie. Mnatazama watu kwa Asili yao badala ya Utanzania.
Haya nimesema Wahuni walotaka.kumuua hawakuwa professional ama Usalama kwa kuenga Matako yake badala ya Kichwa au Kifuani. Nanhata kipande cha risasi kilichobakia ni pembenichini kiunini karibu na Tako.
Kikubwa nilichotaka kuonyesha ni tofauti ya Muuaji alotumwa na mamlaka na mtu mwenye nia ya kumuumiza tu na kutia doa Utawala wa Magufuli. Hii ndio mtazamo wangu mimi na hakuna mtu anaweza nishawishi tofauti unless aje na Ushahidi.
Naambia hata Tubdu Lissu katika.moja ya hotuba zake amewahi kusema kitu kama Magufuli hakuhusika. Mimi sijawahi kuisikia lln ndio nimehakikishiwa hivyo.
Endeleeni kudai hiyo Tanganyika yenu ya 1890! Mimi naijua Tanzania hata kama Muungano utavunjika Bara tutaendelea kuitambua Tanzania sio jina tulopewa na MKOLONI..
Inabidi nicheke kwa sababu mtu mzima umeenda mpaka kutaja kina nani Wazanzibar exactly kama Nyerere alivyosema "Ukisha onja Nyamanya Mtu Hutaacha".Jumbe alikuwa Mzanzibar, Marhum Shaaban Mloo alikuwa Mzanzibar, Marhumu Ramadhani Faki alikuwa Mzanzibar, Maalim Seif marhum alikuwa Mzanzibar, Juma Duni haji ni Mzanzibar, Jussa Ismail Ladhu ni Mzanzibar, Himid, Masooud ni Mzanzibar, Hassan Ghassany ni Mzanzibar, Mohamed Rajab ni Mzanzibar! Marhum Mohamed Reza ni Mzanzibar. Hawa ndio WAASISI wa Tanganyika irudi kwanza tuwe na muungano wa HAKI.
Hiyo ni kabla ya Watanganyika wenyewe hawajastuka kwamba Wamebeba Muungano peke yao, wameibeba Tanganyika yao, na Wameibeba Zanzibar. Ni kabla ya Watanganyika kubaini kwamba Uzanzibar ni ''special'' kuliko wao wenyewe. Kwamba kila kitu lazima kuna fungu la Zanzibar hata kama ni cha Tanganyika
Na ni baada ya kubaini kwamba huu muungano ni wa watu kupata vitambulisho vya NIDA lakini Zanzibar kwanza
Hewaa kumbe siyo DINI wala Uzanzibar! Mkapa Je, Mwinyi Je, Kikwete Je! mbona hujawataja
Hivi unaamini kuna mtu anaweza kukutandika risasi ya kukuumiza bila kukuua!
Nani alikwamba risasi ya matakoni haiui! hivi ingepiga mshipa unadhani nini kingetokea
Daktari wa Nairobi kasema kuna risasi ilipita 1 cm kutoka spina cord, unadhani hayo ni majaribio
Utakumbuka Polisi walisema kuna gari nyeupe Ladcruiser imechomwa moto Morogoro wakati ikikimbia kutokea Dodoma! Umewahi kusikia taarifa tena kuhusu gari hilo. Hivi unajua nani anapanga mkakati wa ku twist story
Kama ni Wahuni rudisheni Camera waonekane! Walinzi wawe wa serikali au private waulizwe kwanini hawakuwepo eneo hilo kama ilivyokuwa kawaida
Nilikusoma mahali ukisema kwanini Tundu alirudi siku hiyo! Mkandara huna taarifa nyingi. Taarifa ya kwanza ya Chama chake na ambayo Lissu aliithibitisha baadaye ni kwamba '' .. Ilikuwa ni mazoea ya Tundu Lissu kurudi kula nyumbani kwake kila siku mchana'' Sasa unapohoji jambo la wazi kama hili unatotoa mashaka!
Hotuba ya lini na ipo wapi! Hivi ungeambiwa Tundu Lissu alisema amejichapa risasi za matakoni mwenyewe ungeamini! Maana yake kila unachoambiwa unameza tu!
Yes Tanganyika! kama ilivyokuwa kabla ya April 26 1964 ili watu wasijifiche kwenye chaka la Tanzania nasisi tumo.
Zanzibar wana ZESCO shirika lao la umeme! ili uajiriwe lazima uwe na kitambulisho cha Uzanzibar
TANESCO juzi wametangaza nafasi 1,000 ukiwa na NIDA hata kama umekataliwa ZESCO una haki TANESCO
Katika hizo 1000 nadhani kuna 21% kwa ajili ya Zanzibar!
Inabidi nicheke kwa sababu mtu mzima umeenda mpaka kutaja kina nani Wazanzibar exactly kama Nyerere alivyosema "Ukisha onja Nyamanya Mtu Hutaacha".
Mimi niliwahi andika bandiko moja kule FB nikiwauliza hao mnaowaita Wazanzibar hivi "MZANZIBAR Ni NANI? Ngija niiweka link hapa chini.
Mkandara Ebbie
MZANZIBAR NI NANI? Bismillah naanza kwa jina lake Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma na mwenye kurehemu. Nimlaani sheitan kwani Mtanange wa leo najua utaleta jazba, zahma, dharau, gubu kwa baadhi ya...www.facebook.com
Baadae nikaweka Chapisho jingine nikiuliza MTANGANYIKA NI NANI? pia Chapisho hilo hili hapa
Historia ya nchi hizi 2 inanipa nguvu kubwa kujitambua kwa ASILI yangu na sii mapokeo ya mfuko ulotigawa ili kututawala.
Na Unaposema unaitaka Tanganyika yako kwa heshima ile ya Bendera, ni sawa na mtumwa alokubali kutawaliwa Kiakili kwa mipaka akiwa HURU.
Nitaitetea Tanzania kwa kila hali kwa sababu naelewa Wakoloni sio lazima kuwa Wazungu hata weusi. Kama Mwafrika unaweza ikataa Katiba ya NCHI yako ukatetea Ukoloni Mambo leo ili kutugawa. Tulitawaliwa kwa miaka 1,000 leo tu Huru miaka 60 tu tayari tumechoka kujitawala. Siwezi endelea kubishana juu ya UTU wetu kwanfaida ya Wanasiasa, Endeleeni kuwaenzi Wapigania UHURU walozaliwa ndani ya NCHI HURU..
Maasalaam
Nitaeleza kwa.mtazamo wangu ya Kwamba hakuna Chama ambacho hakipo sahihi isipokuwa Viongozi wake ndio wametupeleka njia panda!. Aidha ni Viongozi ambao sio Wanasiasa wakifanya Siasa kwa kutoelewa Siasa inalenga Utawala wa aina gani?..sasa Mkuu tumezungumza mengi sana.
..hebu tueleze kwa kifupi ni wapi chama tawala wako sahihi.
..Na wapinzani nao wako sahihi ktk nini.
..Tusiangalie makosa, tuangalie mazuri ya kuyaendeleza.
..Tunatokaje hapa tulipokwama?
..Tunarudisha vipi HAKI, na UPENDO?
..Na tufanye nini ili tusirudi tena kwenye mkwamo?
Mkuu, tusingeungana na Zanzibar tungebaki na jina Tanganyika. Haijalishi limetolewa na nani, mwisho wa siku ndio identity yetu. Labda utupe jina kabla ya Tanganyika na lilitoka wapi na alitoa naniNitaitetea Tanzania kwa kila hali kwa sababu naelewa Wakoloni sio lazima kuwa Wazungu hata weusi. Kama Mwafrika unaweza ikataa Katiba ya NCHI yako ukatetea Ukoloni Mambo leo ili kutugawa. Tulitawaliwa kwa miaka 1,000 leo tu Huru miaka 60 tu tayari tumechoka kujitawala. Siwezi endelea kubishana juu ya UTU wetu kwanfaida ya Wanasiasa, Endeleeni kuwaenzi Wapigania UHURU walozaliwa ndani ya NCHI HURU..
Maasalaam
Mkuu sikubaliana na la kusoma chuo cha siasa! Baada ya Uhuru Baraza kuu la TANU liliundwa na Wazee kwa asilimia 100, hawakusoma popote na wengine walikuwa madereva tu. Nyerere alianza na wasomi wachache akina Msekwa (miaka 28) alikuwa Katibu Mtendaji wa TANU kama sikukosea. Wote walifanya siasa kwa Imani na si shuleTuna Viongozi ambao kwao Siasa ni njia kuu ya ajira inayolipa vizuri sana katika kuondokana na Umaskini, ili mtu yeyote agombee Kiti cha Uongozi wa Kisiasa ni lazima awe amesoma Chuo cha Siasa ili kwanza aihifadhi kichwani Katiba ya Jamhuri. Yapi Maslahi yq Taifa (National Interests).
Utaratibu uliondolewa kwasababu ya matatizo. Kwa mfano, Makamu wa Pili wa Rais alipotoka Zanzibar, Rais akisafiri alishika nafasi. Swali likazuka, alichaguliwa na nani?KATIBA MPYA - Turudishe mfumo wa zamani wa Rais mmoja wa JMT na Makamu wake ndiye atakuwa kiongozi wa upande wa pili kwa mambo yasokuwa ya Muungano. Ibakie kuwa MAKAMU wa rais badala ya kuwa na Marais wawili ili kujenga Imani za watu kuwa tuna NCHI moja yenye Historia kubwa hata kabla ya Wakoloni.
Kuna haja ya kupunguza madaraka ya Rais! Hivi RC, DC, RAS, DED wanafanya kazi gani?Hakuna haja ya kupunguza madaraka ya rais katika kuunda Serikali yake isipokuwa tuondoe KINGA ya VIONGOZI wote Wakiwa madarakani. Separation of Power ya MIHIMILI ya Serikali (Dola) muhimu hakuna kuingiliana katika utekelezaji wa majukumu yao.
Sikubaliani na hili ! tunataka Mahakama na Majaji wawe huru wakisubiri mashtaka na miongozo ya kisheria..Tume Huru mimi nadhani Iwe Chini ya Mahakama na Majaji watasaili majina ya Wagombea na kupitisha mmoja kuwa Mwenyekiti wa Tume Huru na atashirikiana na Mahakama nchini kuunda Watumishi na wasimamizi wa Uchaguzi. Hii ni kuepusha michepuko ya Kisiasa kutofuata Sheria.
Utitiri wa vyama ni Siasa za CCM. Msajili alipaswa kuhakiki vyama hivyo kama vina Wanachama na Ofisi zinazofanya kazi. Kudhibiti hilo ni kufuata masharti tu.Mwisho tuwe na Vyama Vitatu au Vinne tu vya Kisiasa vyenye mrengo wa Itikadi tofauti na hakuna kufukuza Chama chenye Mamlaka ya Kumfukuza Mwanachama kwa sababu Itikadi ni IMANI ya Kisiasa. Wanachama ni wasaidizi (Volunteers) na sii mtaji wa kura wa Chama.
Hakuna mwananchi anayelazimika au kukosa haki kwasababu ya kutokuwa mwanachamaWananchi hawalazimiki kuwa Wanachama wa chama chochote cha Siasa
Wariona aslisema kuwepo na mgombea huruMwananchi awe Huru kuchagua Kiongozi badala ya kufungwa katika hadaa ya Uanachama.
Chama kiruhusiwe kujiendesha kinavyoona inafaa. Kama Mwanachama haridhiki na Sera za Chama X aondoke kwenda Chama Z. Kama harihidhiki na kote apewe fursa ya Kuwa HURU au mgombe HuruHaingii akili Kama mimi naamini katika UJAMAA, nifukuzwe Uanachama kwa sababu simkubali au sikubaliani na Kiongozi. Hii husabanisha makundi, hasada na chuki ndani ya Chama na zaidi baadhi kujifanya Chama kina wenyewe.
Hapo ndipo tatizo lilipo! Umasikini wetu ni failure ya Viongozi, hatuna viongozi wanaojua Management!Mengineyo watajaza wengine lakini kwa mtazamo wangu tuna fail sehemu moja kubwa - UONGOzi BORA.
Unajua kuna nchi ngapi Afrika zilibadiliaha jina lake kutoka jina la Mkoloni? Kwa nini wewe unaamini Tanganyika ingebakia na jina hilo. Naweza sema Tanzania ni muunganiko wa majina mawili - Tanganyika na Azania ungekataaje?Mkuu, tusingeungana na Zanzibar tungebaki na jina Tanganyika. Haijalishi limetolewa na nani, mwisho wa siku ndio identity yetu. Labda utupe jina kabla ya Tanganyika na lilitoka wapi na alitoa nani
Kwa nini mwenzangu kwako kila Kitu ni Watanganyika na Wazanzibar? I mean hata Ukisikia Mwinyi unasema Mzanzibar unataka usikie jina gani Charles? Maana Mwinyi asili yake ni hiyo Tanganyika yako kwa nini Unamwita Mzanzibar na sio Mtanganyika? Haya nambie Mtanganyika ni nani? awe kabila gani au asili gani? Hizi ndio Siasa za Hizbu nilokuwa nikisema toka mwanzo.
Mwinyi alimwakilisha SSH kwa mambo ya JMT lakini ziara ilikuwa ya mambo ya Zanzibar
Katika hali kama hii, unawezaje kuwashawishi Watanganyika kwamba Makamu wawili wana maana yoyote
Hoja ya Watanganyika ni kusimamia mambo yao, hawataki malumbano au ugomvi na Zanzibar
Kwani tatizo lipo wapi? Wazanzibar waachwe wafanye maendeleo yao, Tanganyika ifanye yake
Kama wanataka muungano ni vema, kama hawataki ni vema pia kwasababu hatuhitaji Zanzibar
Hao wahuni unawataja mno, inashangaza namna serikali ya Magufuli na hii ya Sasa zenye kumiliki vyombo vya Dola kushindwa kuwadhibiti hao wahuni wanaotenda jinai,kunyanyasa raia na kuchafua nchi.Nilimwambia Nguruvi3 Wahuni na nikasherehesha nikisema kama unajua maana! Na hili neno tumelisikia sana Polepole akilitimia. Ahida kwao iko wapi mkuu wangu? Nashangaa mnabadilisha kauli zangu kwa tafsiri zenu wenyewe kupotosha maneno yangu. Kwa nini lakini?
Lile jaribio la kumuua Tunsu Lissu, hata bila kuwa mtaalam kuna vipengele vingi havikukaa sawa na ndio maana nikasema Ile ilikiwa mpango wa.Wahuni, Aumizwe Tundu Lissu lawana apewe Magufuli kwa sababu Kama Kweli Magufuli angetaka kuua mtu angekuwa mshindani wake Kisiasa na sio Lissu alokuwa Mbunge tu, akitafuta njia za kutoboa! Like I said Lissu ni Opportunist, Namjua vizuri, hakufika hapo kwa bahati mbaya. Kaumiza wengi sana pale Chadema hasa walokihama Chama. Anakugeuka hutaamini kama ndio Lissu ulokuwa ukimjua..He was the man behind the scene. Amini, Usiamini hilo shauri lenu.
Na kuhusu Magufili kutokwenda Kenya, ni kwa sababu Magufuli alikuwa akimshabikia Laila Uahindi wazi kabisa kila mtu alijua, na hata Kenyatta aliposhinda yalifuatia mauaji makubwa ya Wananchi wafuasi wa Laila. Kuna wakili fulani alikimbilia Canada n.k yaani ilikuwa mbaya mbaya Kenya kilinuka..
Kwa Kenyatta ilikuwa kosa kubwa la Magufuli kumpigia debe Laila Odinga, hivyo Magufuli na Kenyatta picha hazikuenda kabisa kwa muda, Sijui kama unakumbuka jinsi tulivyoendeshana kwenye Biashara hasa mpakani Ilikuwa anza wewe mimi namaliza. Kutwa ni habari za Kenya vs Tanzania, umesahau mara?
Kwa hiyo unamkosea sana Magufuli unaposema hakwenda kwa sababu unazojua wewe labda, lakini binafsi yangu, isingependeza kabisa Maguduli kwenda Kenya kushuhudia Muuaji akiapishwa. Ikisha mkuu wangu mbona.mimi nakusoma na nakusikiliza unapomsema vinaya Magufuli lkn nyie hamtaki nimguse Tundu Lissu? Mnarudi wakali kunishusha miye yaani hoja zenu zinageuzwa kuwa Mkandara hivi au vile!
Anyway, let,'s move on! Kitendo cha Magu na Laila, i le ilikuwa dharau nyingine kwa Kenyatta na ndio maana akazuia Mahindi yetu yasiuzwe Kenya, mara vifaranga vikachomwa moto! Kuna sherehe nyingine alienda Paramagamba akawapiga msasa wa Kiswahili safi waache ujinga wa Ukabila na Chuki.
Nadhani baada ya Hapo mambo yakapoa kidogo Kenyatta na Laila wakafanya maridhiano ya kushiriliana, jambo ambalo Baashi Wakenya hawakupenda.
So, Kuhusu Tundu Lissu, nawaachia nyie ninkama Yesu alosurubiwa, akaamka siku ya 3, na kweli mimi siwezi kubali hata sindano ya tako! Acha risasi. Unachukia burw kuhsu mataki ilihali ndio kiungo alichopigwa risasi na moja mpaka leo imekwama pale. Tarizo nini hasa! Nilitakiwa kusema kiungi gani?
Nachokataa ni kujaribu kuniaminisba ule ulikuwa mpango wa rais! Nsio nasema kama ingekuwa Usalama, Tundu Lissu aaingesalimika! Unless unataka kulishusha jeshi leti kama ile habari ya ati kuna Wakenya ndio walokuna nchini kuandamana na kufanya vurugu za October 29! Ule ni Uongo haufai kabisa kudhalilisha Majeshi yetu kuhusoana na Usalama wa Nchi.
Nachoweza kusema Serikali na Usalama walijia fika kwamba Maandamano yatakuwwpo, ila sidhani kama Usalama walihusika na Mauaji ya Oct. 29. Very un professional ni Wahuni walopiga risasi watu migongoni wakikimbia. Walopiga risasi Wananchi wamekaa vijiweni!
Kosa kubwa alofanya rais Samia ni kujaribu kujenga hoja ya kuitetea Serikali katika Mauaji yale kama haikuwa mauaji katika kuzuia vurugu! Kwa kauli zile inamweka yeye pabaya zaidi kama ndiye alotoa amri mauaji yale yafanyike. Utabishaje ilihali katamka mwenyewe!
Basi wakuu wangu naomba tuoshie hapa, sitorudi tena kubiahana juu ya Tundu Lissu ambaye anasubiri hukumu yake ya Kunyongwa mpaka kifo!
Sua zenu, tumuombee yaishe salama turudi kwenye Siasa za Majukwaani. 2030, Upunzani wanachukua NCHI kwa mujibu wa Utabiri wa Sheikh Yahya Hussein. Cross your fingers!
Yajayo yanafurahisha au sio?
Maasalaam
Mkuu, Wahuni wanaweza kuwa ndani mwako wakikusifia wakati huo huo wakipiga mission town nyuma yako. Enzi za Ujamaa wakiitwa KUPE. Rais ana mamlaka tu ya kusema hawezi kufanya Upelelezo yeye bali wale alowaweka na kuwaamini.Hao wahuni unawataja mno, inashangaza namna serikali ya Magufuli na hii ya Sasa zenye kumiliki vyombo vya Dola kushindwa kuwadhibiti hao wahuni wanaotenda jinai,kunyanyasa raia na kuchafua nchi.
Inaonyesha hao wahuni wana nguvu kuliko vyombo vya Dola.
Siyo mimi, aliesema ni Mzanzibar wa kuzaliwa ingaw Baba yake alitoka Mkuranga.Kwa nini mwenzangu kwako kila Kitu ni Watanganyika na Wazanzibar? I mean hata Ukisikia Mwinyi unasema Mzanzibar unataka usikie jina gani Charles? Maana Mwinyi asili yake ni hiyo Tanganyika yako kwa nini Unamwita Mzanzibar na sio Mtanganyika?
Mtanganyika ni mtu aliyezaliwa au kupata Uraia kabla na baada ya 1961 katika pande la ardhi ya TanganyikaHaya nambie Mtanganyika ni nani? awe kabila gani au asili gani?
Mzee Ruksa aliitwa Mzanzibar, unakumbuka OIC lililozaa G55. Madai ya Tanganyika hayakuanza leo, yalianza na kina Jumbe, Mloo, Faki, Maalim , G55 n.k. Wazanzibar walipokataa u-Tanzania Viswiani Mkandara kimyaa!! hamadi leo ana uona ubaguzi. Alichofanya Mzee Mwinyi hadi madai ya Tanganyika hakina tofauti na hali ilivyo!Mbona baba yake alipokuwa rais Zanzibar na baadae wa JMT hakuna mtu alomsema kwamba huyu ni Mzanzibar aliitwa Mzee Ruksa! Hii habari ya Utanganyika mmeitoa wapi kama sii akili mpya ya kibaguzi. Au ndio maana mnataka Katiba Mpya?
Wazanzibar kudai utambulisho wao na nchi yao si Haki! Sasa hivi wanasambaza vitambulisho vya Uzanzibar wakikumbatia vya NIDA. Nionyesha Mnaykyusa mwenye ID ya Mbeya na NIDA, au Mkurya mwenye ID ya Mara na NIDA. Hujaweza kutueleza, ikiwa ni nchi moja, vitambulisho vya Uzanzibar vimelenga nini?Nikisema hivi unasema waloanza ni Wazanzibar, so what? Kwa nini unalipiza kisasi kwa kitu ambacho wewe unakiona sii HAKI?
Nimekuuliza kitambulisho cha Uzanzibar ni cha nini ikiwa tuna cha NIDA kama Nchi moja?Kwa nini husimamii Ukweli wa nafsi yako kama unaamini Nchi hii ni moja Tanzania?
Hapana! tunaangalia resources na muda. Tunatumia resources nyingi kuwabembeleza Wazanzibar , wao hawataki na sisi hatunufaiki na chochote!. Nitajie faida moja tu ya Muungano kwa Mtanganyika!Ndio nasema kuchukua reactions ni kukubali kushindwa! Binafsi siwezi chukua mkondo wenu nasimamia Uhalali wa kitu tulichokiunda sisi wenyewe kutokana na historia yetu sisi sio Yao..
Miaka 62 Tanganyika ilibeba Muungano! hadi miaka michache hakukuwa na malalamiko.Kwa hiyo.Miafrika tusipoamka dhidi ya Siasa hizi za Kibaguzi tutauana wenyewe kwa.maslahi ya wageni. Infact kinacho fanyika Mataifa ya nje yanataka control ya eneo fulani kwa maslahi yao ya Kibiashara na sii ya Wananchi wa pale.
Kwani yakianza kutokea hatukuyaona? Wazungu wanasema 'the early the better'' waswahili tunasema ''udongo uwahi ungali maji''. 2010 walivuruga hadi Katiba, tulikuwa kimya! kila wanachotaka kwa upuuzi wa KERO tunawapa! wameota pembe tunashangaa lzimetoka wapi.Kwa Tanzania, nani anajua kilicho nyuma ya msukumo huu wa Zanzibar Huru? Yaani wanayo Serikali wameachiwa mambo kibao kinyume cha Katiba ya Jamhuri lakini bado wanadai hayo yote hayatoshi! What's behind all this crap?
Nchi moja ipi ? Muulize Saada Mkuya tuna Nchi moja? Muulize OMO ID anazosisitiza ni za nini katika Nchi moja?Tuna NCHI moja tuloijenga wenyewe na tutailinda kwa nguvu zote. Naijua historia ya Nchi yangu na nitaendelea kuitetea.
Mkuu, kuna vitu huhitaji kuwa na IQ ya 120 ili utambue dhamira ya hoja yangu maana hata Wanawake hupigania haki zao kama wanawake! hatihitaji Wanaume nao waanze kudai watambuliwe kwa Haki zao jwa sababu Wanawake wamedai. Reaction yeyote itakayo fanywa na Wanaume kwa.sababu Wanawake wamedai HAKI yao ni Upumbavu mtupu. Sijui unanielewa?Taarifa tunazozipata ni kwamba Jimbo la Alberta huko Canada limepiga kura ' non binding' iwapo kulitakiwa kura ya kujitoa katika shirikisho la Serikali liwe Nchi kamili. Matokeo ni takribani 75% wakikataa na iliyobaki wakitaka kujitenga. Kura ya kujitenga iliwahi kupigwa kwa Jimbo la Quebec 1995 na 1980 na mara zote Umoja ulishinda
Hoja ni jinsi wenzetu wanavyoshughulikia matatizo! Kwamba jawabu la tatizo si kufunika uvunguni au kutumia maguvu! ni matumizi sahihi ya akili. Nasi Tanzania tuna nafasi ya kufanya kilicho sahihi, Zanzibar wapewe kura ya maoni kuhusu Muungano!
Kura itakuwa na majibu mawili, kwanza, ikiwa wanataka kujitenga wapewe nafasi ya kuondoka katika Muungano
Ikiwa wengi watautaka Muungano , itakuwa ni mandate ya kujadiliana na Tanganyika muundo wa Muungano
Sasa hivi haijulikani nani anazungumza kuhusu Zanzibar. Ndani ya Bunge la Katiba kulikuwa na makundi mawili, kundi la wanaotaka Muungano ''Unionist'' na wanaotaka kujitenga ''separatist'' na ikawa mwanzo wa kuvunjika kwa UKAWA na Bunge. Ili kuepuka matatizo hayo, Zanzibar wapewe kura ya maoni kuhusu Muungano!
Hoja ilikuwa Zanzibar kwenda ku sign mkataba na OIC unilateral. Rais wa JMT wakati huo alijua na alijua ni kinyume cha Katiba na alikaa kimya. Hapo ndipo tatizo lililpokuwepo. Wa Bara waliingia tu golini kugombea mpira wa konaNarudia kusema ya kwamba sisi sote ni Watanzania na maendeleo ya nchi ni kwa sote sii kwa sababu ya Tanganyika au Zanzibar. Swala la OIC lilikuwa swala la Waislaam wote Bara na Visiwani
Nakubali kwanini Mwalimu aliingilia kati. Ku sign na OIC kungeanzisha mashindano ya mikataba ya dini.Binafsi nilielewa hivyo japo watu wengi waliamini mfumo Kristo ndio ulokuwa nyuma.ya Utawala wake kwa sababu waliwahi kuondolewa EAst African Muslim Association ya Aga Khan wakitia huduma kama hizo za OIC.
Dhana ya kuulinda muungano kwa nguvu zetu zote na si akili ndio ilifunika fikra wakidhani yataisha.Again narudia kusema hivi, mtu wa kwanza kabisa hapa Jamiiforums kusema Kama Zanzibar wanataka kujitenga ifanyike referendum!
I agree! muda upo na resource zipo ni suala la Baraza la Wawakilishi kupitisha mswadaKwa hiyo kama kweli Wazanzibar wanataka kujitenga kwanza lazima upatikane muda wa kampeni kuwaeleeza Wazanzibar FAIDA na HASARA za Kujutenga. Vuongozi wa pande mbili wapewe muda wa kufanya mikutano ya hadhara Zanzibar nzima kuwaeleza Wananchi whats is at stake!
Itasaidia sana wao kutambua nafasi yao katika Muungano! kwasasa'' they take for granted''Binafsi nina Hakika Wazanzibar wakisha elewa Uongo wanaolishwa na Wanasiasa Uchwara leo hii hawatakubali kabisa kujitenga. Ndivyo ilivyokuwa Quebec na Alberta. Walikuwa promised UONGO mwinfinkumbe nyuma ya pazia ingewagharimu wao UTU wao kwa sababu ya tamaa ya Viongozi.
Tuseme ukweli, ubovu ulianza na Kikwete! JK alitaka kuoenekana mwema sana kwa Wazanzibar akaacha wazi kila kitu. On top of that Bunge hili la damu halina mtima! wote wamepachikwa hawakuchaguliwa!Narudia tena kusema hivi kama Zanzibar leo wanaingia mikataba ya Kimataifa pasipo ridhaa ya Bunge la Jamhuri ni Ukiukaji wa Katiba na umeridhiwa na Mihimili yetu laa angetokea Mbunge au Kiongozi kupinga Utaratibu huo.
Yes wao ndio mafundi wa kukiuka Katiba. Huwezi kumtuhumu Mtanganyika kwasababu hana serikali!Isitoshe kuna mikataba inapitishwa pasipo kuidhinishwa na Bunge mpaka imekuwa kawaida. So, Ukiukaji wa Katiba chanzo cha Mada hii na nimeeleza kwa kina lakini inavyonyesha bado hunielewi unataka tu kuwanyooshea Kidole Zanzibar wanapokiuka wao.
Nadhani karibu kote saaa tunakubaliana isipokuwa bado unakazania hili neno - Wazanzibar wao ndio walianza. Ndugu yangu narudia tena kusema hakuna kitu Wazanzibar (Nationality) ila kuna Serikali ya Zanzibar. Na kule nyuma nimeweka link nikiuliza Wazanzibar ni nani?Hoja ilikuwa Zanzibar kwenda ku sign mkataba na OIC unilateral. Rais wa JMT wakati huo alijua na alijua ni kinyume cha Katiba na alikaa kimya. Hapo ndipo tatizo lililpokuwepo. Wa Bara waliingia tu golini kugombea mpira wa kona
Nakubali kwanini Mwalimu aliingilia kati. Ku sign na OIC kungeanzisha mashindano ya mikataba ya dini.
Tungekuwa uwanja wa mapambano kutoka nje, huku Evangelist, kule Protestant, kwingine Catholics, Shia, Suni, Ismail, Bohora, Salafi, Wahabi , Adventist, Pentecoste, Anglican, Lutheran kila mmoja akitaka kussaini mikataba.
Dhana ya kuulinda muungano kwa nguvu zetu zote na si akili ndio ilifunika fikra wakidhani yataisha.
Referendum ni jawabu, itaeleza nani anazungumza kwa niaba ya Wazanzibar walio wengi
I agree! muda upo na resource zipo ni suala la Baraza la Wawakilishi kupitisha mswada
Itasaidia sana wao kutambua nafasi yao katika Muungano! kwasasa'' they take for granted''
Tuseme ukweli, ubovu ulianza na Kikwete! JK alitaka kuoenekana mwema sana kwa Wazanzibar akaacha wazi kila kitu. On top of that Bunge hili la damu halina mtima! wote wamepachikwa hawakuchaguliwa!
Kwa upande wa serikali tatizo ni kubwa sana , ''ni zamu yetu''
Yes wao ndio mafundi wa kukiuka Katiba. Huwezi kumtuhumu Mtanganyika kwasababu hana serikali!
Hakuna Tanganyika na hakuna Mtanganyika anayeweza kuingia mkataba wowote! ni wao tusione aibu
Wazanzibar ni repeated offenders wa Katiba na Muungano! Hilo ni sababu inayo provoke Watanganyika
Tanganyika haiwezi kubeba muungano at the cost of her people, with sheer disrespect
Swali wanalojiuliza Watanganyika, tunawahitaji? kwasababu zipi!
Kikatiba ni hivyo lakini kwa matendo na mioyo sivyo kabisa. Nilikuambia Watanganyika wanavitambulisho vya NIDA kwa dhati ya moyo1 Wazanzibar wanavitambulisho vya NIDA kwa fursa. Unaelewa hapo?Wanaweza jiita Wazanzibar kujipa moyo kamanvile qewe unajiita Mtanganyika lkn hakuna Nchi wala Uraia wa Zanzibar au Tanganyika, kuna Uraia wa nchi moja tu TANZANIA.
Bandiko langu la awali nilisema ''.. Baraza la Wawakilishi wapitishe Mswada wa referendum''. Nilikome hapo makusudi kabisa! Ni kwamba BLW limeweza kubadili Katiba ya Zanzibar bila kushirikisha JMT.Na hata tukitaka kufanya referendum inatakiwa kuwa kwa mujibu wa Sheria (Katiba). Hivyo maadam hatina Sheria hiyo itabidi Katiba yetu iwe na inara maalumu inayotuhusu Referendum (Referendum Act) kama ilivyo kwa baadhi ya nchi ziloweka ruksa ya KUVUA KOTI. Nje ya hapo, haitakuwezekana ikiwa hakuna Sheria Kanuni na taratibu za kufikia maamuzi yanayokubalika. So til then ndio tunaweza zungumzia swala ya kura za maoni ya Wananchi kuhusu Kujitenga (Nchi), hili sio swala la kuunda kisema sijii tuunde tume mkayamaliza, kuna gharama kubwa ya fedha na ya Ki-mamlaka.
Hapana! kulikuwa na kundi la Pandu Kificho ambalo lilikuwa na msimamo wa serikali 3 lakini likatishwa na akina Shamsha Nahodha anayependa Muungano so to speak. Kuna kundi la OMO la Serikali 3So far, wa kulaumiwa ni Baraza la Mapinduzi ambao walikuwa tayari kumkataa Salim A. Salim alipotaka kugombea Urais kwa sababubtu alikuwa Hizbu hata kama alibadilika na wao pia waloikataa rasimu ya Katiba kuhusiana na Serikali 3, rais Samia akiwa spika wa Bunge la Katiba nikidhani waliayaenzi maamuzi ya waasisi wa Mapinduzi.
Wana common interest ni beneficiary dhidi ya hasimu wao Tanganyika! Plain and simpleKwenye hili Yanishangaza sana kuona wamekuwa kimya sana juu ya mabadiliko yanayofanyika kinyume cha Katiba unless hata wao sasa hivi wamechoshwa na Kero za Muungano wamefikia maamuzi ya Kuunhana na mahasimu wao.