Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Pamoja na umri wa Messi kwenda bado ni bora kuzidi Mbappe.
Stop the bullshit, Mbappe ni Mbappe na wala messi hawezi kuwa katika quality ya mbappe kwa kipindi hiki, hamna asiyemjua Messi ila kwa sasa i will pick Mbappe over messi or CR7
 
Messi kwa mbappe ni mbingu na ardhi achilia mbali viatu huyo mbappe hata soksi tu za messi hawezi kuvaa.

Mbappe level zake ni kina halaand na rashford ndio atunishiane nao misuli
Yani unadhihirisha ufala wako huyo messi kwa kipindi hiki anafikia striking force ya Haaland? Man ucha ushabiki maandazi, mimi ni Man U lakini u amuwekaje Haaland na Rashford kwenye level moja?Haaland ni noma
 
Mbappe hana adabu, na great players, sport journalists and funs wataanza kumshusha kwa kumwandika vibaya sana, tena Ulaya ndio utaona..
 
Messi aliyowazid wote hao ni Ballon dor lakin kwa mbungi[emoji23][emoji23][emoji23]labda kama ulikuwa unafatilia isidingo n sio hao miamba

Take time n angalia video zao utapata akili kidogo
Ukimtoa Pelle hakuna mchezaj bora zaid ya Messi,fuatlia mpila sio unaishia kuanglia viclip uchwara huko youtube,narudia tena ukimtoa Pelle anafuat Messi alaf ndo Maradona,hao ndo wachezaj bora wa muda wte duniani
 
Naunga mkomo hoja[emoji1666]
 
Kumamake asa hao wanamzidi nini messi?

Au kisa wamecheza zamani?

Nyie ndo wehu mnaosemaga pawasa ni bora kuliko msuva au kapombe

Punguwan kabisa
Hajui mpila huyu amekalili tu,anababaika na zile chenga za gaucho ndo anamuona bora kuliko Messi,huend hat mpila wenyw haangalii anasoma kwny magazet t
 
Wakati anachukua hyo balloon dor ya 7 ulisikiliza hotuba yake!? Au umesehau aliwah chukua tuzo ambayo alistahli Iniesta!? Ballon dor kipindi cha messi na Ronaldo ni siasa kati ya matajiri wa Madrid na Barcelona. Kwahyo acha kukurupuka
Kwahy kipind cha Messi na Ronaldo akina nan walikua bora kuzid wao ambao walipaswa kuchuku hzo tuzo?.
Na ukumbuke hzo tuzo zinapatikan kwa njia ya kura.


Kafuatlie Taarab naon mpila sio type yako
 
Hata kimpembe au Pogba wanazo hata Kante anayo hata rock junior anayo ila hao wote sio GOAT

Messi has been goated level ambazo mbape anaweza asizifikie.

Mbape Hana hata ubavu wa kufikia level za Ibrahimovic au Henry seuze MESSI.
Kwa dunia hii hakuna atakaefikia level ya messi na Ronaldo
 
Neymar ni master kwenye siasa za mpira
 
Messi alimsumbua nani ?katika prime yake akiwa barca?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…