WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,615
- 3,784
DaahMessi astaafu sasa, aache ubishi, atadhalilika zaidi na zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DaahMessi astaafu sasa, aache ubishi, atadhalilika zaidi na zaidi.
Madrid wamemlaaniWho are you useme hatabeba?
Stop the bullshit, Mbappe ni Mbappe na wala messi hawezi kuwa katika quality ya mbappe kwa kipindi hiki, hamna asiyemjua Messi ila kwa sasa i will pick Mbappe over messi or CR7Pamoja na umri wa Messi kwenda bado ni bora kuzidi Mbappe.
Yani unadhihirisha ufala wako huyo messi kwa kipindi hiki anafikia striking force ya Haaland? Man ucha ushabiki maandazi, mimi ni Man U lakini u amuwekaje Haaland na Rashford kwenye level moja?Haaland ni nomaMessi kwa mbappe ni mbingu na ardhi achilia mbali viatu huyo mbappe hata soksi tu za messi hawezi kuvaa.
Mbappe level zake ni kina halaand na rashford ndio atunishiane nao misuli
Wee huu mwaka hauishiiiNipoooooo.
Maswali ya baby class haya...unafikiri kura za balloon de or zinapigwa na kina mandonga..?, ...Mkitumia kigezo cha ballon dor kusema mchezaji flani ni bora, kwahyo mnataka kuniambia Messi ni bora kuliko Ronaldinho, Maladona, Ronaldo dilma, Pelle, galincha, Zidane!?
Na bibi yako mkuuMaswali ya baby class haya...unafikiri kura za balloon de or zinapigwa na kina mandonga..?, ...
Ukimtoa Pelle hakuna mchezaj bora zaid ya Messi,fuatlia mpila sio unaishia kuanglia viclip uchwara huko youtube,narudia tena ukimtoa Pelle anafuat Messi alaf ndo Maradona,hao ndo wachezaj bora wa muda wte dunianiMessi aliyowazid wote hao ni Ballon dor lakin kwa mbungi[emoji23][emoji23][emoji23]labda kama ulikuwa unafatilia isidingo n sio hao miamba
Take time n angalia video zao utapata akili kidogo
Naunga mkomo hoja[emoji1666]Mimi naona hao kina pelle,maradona,R9,R10,zidane walikuwa bora kwa nyakati zao.
Messi na cristiano ni wachezaji bora kwa nyakati zote
Rekodi inaonyesha hivyo,hao wawili wamevunja rekodi zote.
Ukija kwa mbape naona anajiharibia tu mwenyewe ilibidi awatumie kaka zake vizuri ku set rekodi zake
Neymar na messi bado wapo juu ..
Hajui mpila huyu amekalili tu,anababaika na zile chenga za gaucho ndo anamuona bora kuliko Messi,huend hat mpila wenyw haangalii anasoma kwny magazet tKumamake asa hao wanamzidi nini messi?
Au kisa wamecheza zamani?
Nyie ndo wehu mnaosemaga pawasa ni bora kuliko msuva au kapombe
Punguwan kabisa
Maisha yana mengi, huenda akainyakua akiwa hapo hapo PSG.Mbappe uefa cl anaweza asiibebe maisha yake ya soka.
Kwahy kipind cha Messi na Ronaldo akina nan walikua bora kuzid wao ambao walipaswa kuchuku hzo tuzo?.Wakati anachukua hyo balloon dor ya 7 ulisikiliza hotuba yake!? Au umesehau aliwah chukua tuzo ambayo alistahli Iniesta!? Ballon dor kipindi cha messi na Ronaldo ni siasa kati ya matajiri wa Madrid na Barcelona. Kwahyo acha kukurupuka
Kwa dunia hii hakuna atakaefikia level ya messi na RonaldoHata kimpembe au Pogba wanazo hata Kante anayo hata rock junior anayo ila hao wote sio GOAT
Messi has been goated level ambazo mbape anaweza asizifikie.
Mbape Hana hata ubavu wa kufikia level za Ibrahimovic au Henry seuze MESSI.
[emoji16][emoji16][emoji16] haijielewi inaishia kukalili tu[emoji2][emoji2]Angalia na video za messi mijitu ya zamani mijinga kweli
Huwezi hitimisha hivyo maana bado dunia haijafika tamati huwezi jua wataibuka kina nani baadae.Kwa dunia hii hakuna atakaefikia level ya messi na Ronaldo
Neymar ni master kwenye siasa za mpiraKama timu ilishamchagua Mbappe kama mpiga penalty haijalishi hata kama angekuwa kakosa tatu kwenye mechi moja ya 4 ni lazima apige yeye labda aamue kumruhusu mwengne apige na ndio utaratibu wa kila timu na Neymar analijua hilo so amefanya kwa makusudi kumuudhi boss wake,Mbappe
Messi alimsumbua nani ?katika prime yake akiwa barca?Ana world cup messi hana Kiufupi dogo anajua kuwa yeye psg ni muhimu kuliko messi so yeye account hizo ballon d or anatamba kwa umuhimu wake na thamani anavyopewa psg same to messi kwenye kipindi chake barca alivyokuwa anasumbua wenzie na kwa umuhimu wake akiwa camp nuo
Umeanza kuangalia mpira liniIbrahimovic nae ana Level gani jamani tuacheni tu kuwajaza watu misifa