Sasa Lewandowsk unamuona ni striker wa aina gani mkuu?Sasa top Scorer hizo chance walikuwa wana create wakina nani? Mnangalia Output tu bila kuangalia build up ya mashambulizi zimeanzia wapi.
Ile PSG niki mchukua Jesus,Hallaand,Lewandoski nk watafunga magoli kuliko huyo Mbape.
Tuzungumzie ubora wa Messi na Mbappe kwa sasa wote wakiwa PSGHakuna anaesema Mbappe mchezaji mbaya au sio mchezaji mzuri...but hafiki hata nusu ya Messi kwenye ubora wake
DuuuhUmeanza kuangalia mpira lini
yaani pua ya ibrahimovic ni ndefu kuliko career ya mbappe
Usilete ujuaji mkuu leta data hapa za ibrahimovic na personal awards zake au unafikiri hatujui kuwa hata Uefa hajawahi beba na umri wote huo alionaoUmeanza kuangalia mpira lini
yaani pua ya ibrahimovic ni ndefu kuliko career ya mbappe
Bado wiki moja shule zifunguliwe jisomeePoint anazo Bibi yako sio
Nasimama na boss mbape
Natamani Messi na Ronaldo wastaafu soka kipindi hiki kwa heshima maana siku zinavyozidi kwenda wanazidi kudhalilika tu
Wanasahau figisu alizokuwa anafanya messi kwa akina ibramovich
Sasa wewe umesema tuongee kwa fact ? Fact zenyewe sizioni na wala hauna reference.Sasa Lewandowsk unamuona ni striker wa aina gani mkuu?
Halaand sivyupo hapo Man city na Jesus ametoka hapo tuone atamaliza msimu na goli ngapi mwenzie aubamayang alitoka Bundesliga bila kiatu ila Epl amebeba sasa tumuone huyo Haaland
Messi aache udikteta akalee wajukuu sasa,tangu nazaliwa messi messi
Kwani Messi kafanya nini ndugu?Messi aache udikteta akalee wajukuu sasa,tangu nazaliwa messi messi
Nasimama na Boss Mbappe kwenye hili, Neymar na kaka ake Messi kama wanaona PSG hapawafai waondoke waiache PSG salama kwanza wao wawili wamechangia kiasi kikubwa kukoss kombe la uefa msimu uliopita kwa uchezaji wao wa kizembe na wanatakiwa wajue kila timu ina mfalme wake na kwa hapa PSG ni Mbappe
Sasa Lewandowsk unamuona ni striker wa aina gani mkuu?
Halaand sivyupo hapo Man city na Jesus ametoka hapo tuone atamaliza msimu na goli ngapi mwenzie aubamayang alitoka Bundesliga bila kiatu ila Epl amebeba sasa tumuone huyo Haaland
Ukipata time nenda FIFA TV kaangalie documentary ya Pelle utafuta kauli yako yule mzee ni nuksi mimi nlikua mbishi kama wewe baada ya kutazama hio clip nmekubali Pelle ni next level
Ana world cup messi hana Kiufupi dogo anajua kuwa yeye psg ni muhimu kuliko messi so yeye account hizo ballon d or anatamba kwa umuhimu wake na thamani anavyopewa psg same to messi kwenye kipindi chake barca alivyokuwa anasumbua wenzie na kwa umuhimu wake akiwa camp nuo
Sijajiunga kwa mkumbo kama wewe na wala sikuambiwa na mtukwa akili yako hii ,inaonekana ata kujiunga hapa jf umesahidiwa na mtu,
De lima
Iniesta
Gaucho
Xavi
Giroud
Gotze
Zidane
So, kigezo chako ni world cup sio!! Basi hata hawa ni bora zaidi ya Messi kwakua wana world cup!!!
Messi atabakia kuwa bora all the time, hapo hakuna hata mmoja ana nusa kwa jamaa.
Waabheja sana
Messi ni playmaker, finisher, assist machine, kiongozi uwanjani."Akili mtu wangu" unamaanisha nini? Au unamaamisha aliye chukua medali ya kombe la dunia ni bora kuliko mwenye Ballon dor.
Pamoja Ballon dor kuwa na siasa zake lkn haindoi kwamba Messi ni mchezaji wa kipekee hana mfano wa kumfananisha nae.
Hata kwa sasa ukisema uchambue uwezo alio nao sasa Messi na Mbape bado Mbape hamfikii Messi labda alicho mzidi ni mbio tu.
Messi na Henry walicheza pamoja na Trio yao ilikuwa Messi Eto'o Henry. Katika kile kikosi Messi alikuwa akichezeshwa kama false 9, Henry akitokea pembeni kushoto na Eto'o, ama atatokea pembeni kulia au atacheza katikati.Na ndiye aliemuondoa THIERRY HENRY kwenye NUMBER yk na baadae akamtoa kabisa kwenye! MESSI = sIsihemu
Pele kuna mechi alikuwa anacheza na mtu mguu mfupiCjawah ila takwimu zake sio za kawaida mkuu