Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Unashindwa kuelewa kuwa mbappe ana medali ya
kombe la dunia ambalo messi hana.
Nyinyi mpira takwimu kuna siku ntasema bruno fernandes ni mkali kuliko IniestaUsilete ujuaji mkuu leta data hapa za ibrahimovic na personal awards zake au unafikiri hatujui kuwa hata Uefa hajawahi beba na umri wote huo alionao
Akiwa ndio kwanza ana miaka 23 Mbapoe tayari ana goli 33 za uefa huku huyo Ibrahimovic kucheza kwake miaka yote ana goli 41 tu.
Pele kuna mechi alikuwa anacheza na mtu mguu mfupi
wengine hawana mikono
messi angekuwa na magoli 5000 enzi hizo
mbona Diego Armando Maradona anatajwa ni moja ya wachezaji bora wa muda wote ila ana magoli machache na takwimu zake za kawaida hata mbappe zipo juu ?
Kwasababu watu wamemuona vizuri kuliko pele
sisi tuna tabia ya kupenda vya zamani na kuona ndio bora
Messi ni hatari
Kwa dunia hii labda ianze upyaKabisa Messi ni bora kuzidi mchezaji yoyote, may be maradona pekee. Lakini kwa mafanikio zaidi messi is very dangerous aise.
For Me, Messi and Diego are no 1 ππ½ππ½ππ½ππ½
Kwangu mimi uniwekee De Lima na Gaucho kwenye ubora na Messi kwenye ubora wake Messi ansugua benchi hata mwaka mzima bila kuwepo hata sub ππππKabisa Messi ni bora kuzidi mchezaji yoyote, may be maradona pekee. Lakini kwa mafanikio zaidi messi is very dangerous aise.
For Me, Messi and Diego are no 1 ππ½ππ½ππ½ππ½
Hata mimi naona hakuna kibega chochote cha kumdhalilisha Messi. Watu wanakuza mambo tu!Sorry. Nilikuwa sijaelewa vizuri uchambuzi hapa youtube. Ni Mbappe. Na kwa mtindo huo anatakiwa kujiangalia. Lakini kile kibega kinaonekana ni ajali tu.
Hujui mpira na haufuatiliiSasa Lewandowsk unamuona ni striker wa aina gani mkuu?
Halaand sivyupo hapo Man city na Jesus ametoka hapo tuone atamaliza msimu na goli ngapi mwenzie aubamayang alitoka Bundesliga bila kiatu ila Epl amebeba sasa tumuone huyo Haaland
Popote ulipo piga heineken tatu nitalipa. You hv spokenNatamani Messi na Ronaldo wastaafu soka kipindi hiki kwa heshima maana siku zinavyozidi kwenda wanazidi kudhalilika tu
Hahahahaaha hahahaKwangu mimi uniwekee De Lima na Gaucho kwenye ubora na Messi kwenye ubora wake Messi ansugua benchi hata mwaka mzima hata bila kuwepo hata sub ππππ
Messi ni playmaker, finisher, assist machine, kiongozi uwanjani.
Qualities ambazo huwezi zipata zote kwa mbappe
Messi alinyimwa kimo which make so special bro utilize his other gift.
Kama ilivyo kwenye basket Steph curry Yuko kama Messi.
Kanyimwa height ya NBA players but he is fvcking scary on the court. Guarded by two or more players.
Mkimwacha tu ni kitu na box.
Na yeye hajali, yeye anajali kutupia hesabu mtafanya wenye na anajua kuwachezesha wenzake.
Hii ni kama Messi.
Mbappe ni mainstream media player Hana chochote special na ataflop soon
Boss, hujaelewa anamaanisha nini. Msome vizuri utaelewaMessi alimsumbua mpaka maako kijijini chitoholi
Kwangu mimi uniwekee De Lima na Gaucho kwenye ubora na Messi kwenye ubora wake Messi ansugua benchi hata mwaka mzima hata bila kuwepo hata sub ππππ
wivu unamsumbua
Natamani messi na neymar waondoke kwenye hii timu abaki yeye kama yeye ili dhihaka isiendelee kwa messi. Hawa wote ni mafahari lkn kuna mmoja hataki kujishusha.wivu unamsumbua
Natamani messi na neymar waondoke kwenye hii timu abaki yeye kama yeye ili dhihaka isiendelee kwa messi. Hawa wote ni mafahari lkn kuna mmoja hataki kujishusha.
Yani ni kweli mkuu kuna mdau huko juu katoa point nzuri sana yani ronaldo na messi ni bola wakastaaf misimu hii ijayo wastaaf kiheshima wanapoelekea ni dhihaka watakuja kustaaf kwa aibuBora Messi angetimkia city, kwa mchezaji bora kuwahi kutokea kwendelea kubaki pale ni aibu, ukizingatia anaochezanao vipofu wameona mwezi, wanapaswa kuwa na adabu mbele ya messi.