Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Mbappe atatamba ana kombe la dunia...
 
Tena Mbio Za Umri Tu
 
Mtu mweusi hata aende wap watabakia walikuwa na watakuwa na watumwa tu bwana mdgo anadhara sana
 
Wayne Rooney kashangaa Mbappe anatoa jeuri wapi ya kumletea ujeuri Messi wakati Messi alipokuwa umri huu WA Mbappe alikuwa na Ballon d or nne?...naona Mbappe anazidi kuongeza maadui ..hata Perez alisema huyu Mbappe sio Yule tulikuwa tunamtaka...
Tatizo sisi tuliozoea kushinda njaa, tukipata fedha za kutosha lazima tuanze nyodo hadi ulimwengu utushikishe adabu ndio tunakuwa wanyenyekevu.
Kwahiyo, huenda Kwasababu analipwa fedha ndefu kuliko Messi.
 
Kama timu ilishamchagua Mbappe kama mpiga penalty haijalishi hata kama angekuwa kakosa tatu kwenye mechi moja ya 4 ni lazima apige yeye labda aamue kumruhusu mwengne apige na ndio utaratibu wa kila timu na Neymar analijua hilo so amefanya kwa makusudi kumuudhi boss wake,Mbappe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…