Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Na huyu dogo ndio by by hata kaa abebe uefa wala ballon d or
Uefa atabeba tena sio moja kuhusu Ballon d'or sina shaka atabeba pia ila Neymar ndio hatakuja beba hiyo tuzo
 
Hata kimpembe au Pogba wanazo hata Kante anayo hata rock junior anayo ila hao wote sio GOAT

Messi has been goated level ambazo mbape anaweza asizifikie.

Mbape Hana hata ubavu wa kufikia level za Ibrahimovic au Henry seuze MESSI.
Ibrahimovic nae ana Level gani jamani tuacheni tu kuwajaza watu misifa
 
Mkuu acha mahaba kwa uwezo alionao Messi sasa hamfikii hata kwa karibu mtoto Mbappe msimu uliopita kaonyesha hilo kwenye timu kaongoza kwa magoli na bado akaongoza kwa assist
 
Walimuangusha sana Mbape kwenye ile mechi wakacheza kifaza sana Neymar na kaka ake na kukosa penalty muhimu ila dogo alipambana aliweka kamba kote home na away
 
Uefa atabeba tena sio moja kuhusu Ballon d'or sina shaka atabeba pia ila Neymar ndio hatakuja beba hiyo tuzo
Unaweza kuwa sahihi au ukawa sio sahihi pia. Maana hatuijui future
 
Mkuu acha mahaba kwa uwezo alionao Messi sasa hamfikii hata kwa karibu mtoto Mbappe msimu uliopita kaonyesha hilo kwenye timu kaongoza kwa magoli na bado akaongoza kwa assist
Niache mahaba yapi kwani majukumu ya Messi alivyokuwa Barca na PSG ni sawa?
 
Walimuangusha sana Mbape kwenye ile mechi wakacheza kifaza sana Neymar na kaka ake na kukosa penalty muhimu ila dogo alipambana aliweka kamba kote home na away
Mbape ndiye kaangushwa huyo, karudie kuitizama fainali ya Bayern na PSG UEFA, halafu pata picha kwa timu ile Messi angekuwepo fainali na PSG angefanya nini.

Mbape utoto mwingi sana, kuna Hallaand mtoto mdogo ila maturity yake ni kubwa.
 
hana lolote ,ni mbio tu halafu mashuti mengi anapaisha kama Ndemla, kufunga anafunga lakini unakuta mashuti ya kupaisha kama kumi.
Ndemla tena kweli kazi hipo[emoji23][emoji23][emoji23]akili mtu wangu
 
Mbape ndiye kaangushwa huyo, karudie kuitizama fainali ya Bayern na PSG UEFA, halafu pata picha kwa timu ile Messi angekuwepo fainali na PSG angefanya nini.

Mbape utoto mwingi sana, kuna Hallaand mtoto mdogo ila maturity yake ni kubwa.
Sasa hujiulizi kwanini hawajafika hata hiyo fainali
 
Mbape ndiye kaangushwa huyo, karudie kuitizama fainali ya Bayern na PSG UEFA, halafu pata picha kwa timu ile Messi angekuwepo fainali na PSG angefanya nini.

Mbape utoto mwingi sana, kuna Hallaand mtoto mdogo ila maturity yake ni kubwa.
Messi na Neymar muda wao umeshapita tayr
 
Neymar amemfanyia jeuri mbape kwa kumvunjia heshima messi

Neymar nimemkubali sana kwenye hili
 
Mbape atakuja kuzidiwa ubora na Haland wait and see
Haaland hawezi kumzidi wala kumkaribia uwezo Mbappe maisha
Ni kweli dogo hamumpend ila dogo anajua kwa umri wa dogo na vitu anafanya ni vikubwa

Ameshafunga kwenye mechi kubwa tu za uefa akiweka hat trick Camp Nou dhidi ya Barcelona
Akifunga bao dhidi ya Madrid Santiago Bernabeu huku akiwapiga pia pale Parc des princes utakuwa wa ajabu sana talent kama hii kuifananisha na Haaland mchezaji wa timu ndogo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…