Mbappe ageuka gumzo Kwa kumvunjia adabu Messi

Alafu ukipata muda pitia uangalie video ya hicho kitendo wanachosema Mbappe amempush Messi, watu wanakuza tu ila ilikuw ni accidentally na sio kama wanavyokuza!! Wazungu miyeyusho sana
 
Uefa atabeba tena sio moja kuhusu Ballon d'or sina shaka atabeba pia ila Neymar ndio hatakuja beba hiyo tuzo
Unaweza kuwa sahihi au ukawa sio sahihi
Mbape ndiye kaangushwa huyo, karudie kuitizama fainali ya Bayern na PSG UEFA, halafu pata picha kwa timu ile Messi angekuwepo fainali na PSG angefanya nini.

Mbape utoto mwingi sana, kuna Hallaand mtoto mdogo ila maturity yake ni kubwa.
achana nae huyo. Yaani ile fainali na munich alicheza kama hajui goli lipo wapi. Mbappe uefa cl anaweza asiibebe maisha yake ya soka.
 
Haaland hawezi kumzidi wala kumkaribia uwezo Mbappe maisha
Ni kweli dogo hamumpend ila dogo anajua kwa umri wa dogo na vitu anafanya ni vikubwa

Ameshafunga kwenye mechi kubwa tu za uefa akiweka hat trick Camp Nou dhidi ya Barcelona
Akifunga bao dhidi ya Madrid Santiago Bernabeu huku akiwapiga pia pale Parc des princes utakuwa wa ajabu sana talent kama hii kuifananisha na Haaland mchezaji wa timu ndogo tu
PSG unaifananisha na Man city? Mbape ana mbio tu na kupaisha mipira
 
Kwa kifupi Mbape ameonesha kwamba hana lolote la ajabu. Naona safari yake ya kung'ara inafikia mwishoni. Hana adabu. Na hatofika mbali. Akili ndogo utazijua tu. Ni suala la muda. How can he compare himself to Messi. [emoji28]
Crazy little boy.!
 
Haaland hawezi kumzidi wala kumkaribia uwezo Mbappe maisha
Ni kweli dogo hamumpend ila dogo anajua kwa umri wa dogo na vitu anafanya ni vikubwa

Ameshafunga kwenye mechi kubwa tu za uefa akiweka hat trick Camp Nou dhidi ya Barcelona
Akifunga bao dhidi ya Madrid Santiago Bernabeu huku akiwapiga pia pale Parc des princes utakuwa wa ajabu sana talent kama hii kuifananisha na Haaland mchezaji wa timu ndogo tu
Si mpendi nini ile timu ya PSG au Ufaransa ukimtoa Mbape na kumweka Hallaand,Hallaand atafunga goli nyingi kuliko Mbape.

Ufaransa na PSG kuna talent kibao, huwezi fananisha na Dortmund aliyo tokea Hallaand na still bado alikuwa anafunga sana.

Hata mimi pale PSG nikisimama namba 9 sikosi goli 25 msimu mzima,wapishi wa magoli wapo kibao, ukirudi Ufaransa mafundi kibao.
 
Wewe unaangalia muda ila sio uwezo. Kaa ukijua akina Zanetti wamepiga mpira umri zaidi ya Messi na UEFA wakabeba,huku Zanetti akiwa team kepteni.
Ukitaka kujua hilo kaangalie tangu Neymar na Messi wameingia PSG top scorer alikuwa nani n mara ngapi na nani kati yao ana magoli mengi PSG
 
Si mpendi nini ile timu ya PSG au Ufaransa ukimtoa Mbape na kumweka Hallaand,Hallaand atafunga goli nyingi kuliko Mbape.

Ufaransa na PSG kuna talent kibao, huwezi fananisha na Dortmund aliyo tokea Hallaand na still bado alikuwa anafunga sana.

Hata mimi pale PSG nikisimama namba 9 sikosi goli 25 msimu mzima,wapishi wa magoli wapo kibao, ukirudi Ufaransa mafundi kibao.
Hacha fact za kitoto

Unajua kati ya ligi ya ufaransa na ujerumani hipi ni ligi Bora!?
 
Ukitaka kujua hilo kaangalie tangu Neymar na Messi wameingia PSG top scorer alikuwa nani n mara ngapi na nani kati yao ana magoli mengi PSG
Sasa top Scorer hizo chance walikuwa wana create wakina nani? Mnangalia Output tu bila kuangalia build up ya mashambulizi zimeanzia wapi.

Ile PSG niki mchukua Jesus,Hallaand,Lewandoski nk watafunga magoli kuliko huyo Mbape.
 
Mbappe ameongezeka jeuri baada ya kupewa mkataba mpya na PSG unaomfanya achukue karibia £ 1 million kwa wiki ukijumlisha na picha za matangazo yake, pamoja na umri wake unamfanya ashindwe kujisimamia.
Muda so mrefu anaenda kuanaguja huu ndo mwanzo wa anguko lake wala hatotoboa miaka 27 akiwa kwenye peak kifupi huu ndo mwanzo wa mwisho kama unabisha mifano iko wazi kwa wachezaji wote wa aina yake

nidhamu ni kitu muhimu sana katika kila jambo kama unahitaji kufanikiwa
 
Si mpendi nini ile timu ya PSG au Ufaransa ukimtoa Mbape na kumweka Hallaand,Hallaand atafunga goli nyingi kuliko Mbape.

Ufaransa na PSG kuna talent kibao, huwezi fananisha na Dortmund aliyo tokea Hallaand na still bado alikuwa anafunga sana.

Hata mimi pale PSG nikisimama namba 9 sikosi goli 25 msimu mzima,wapishi wa magoli wapo kibao, ukirudi Ufaransa mafundi kibao.
jamaa anafananisha bundasliga na Liga 1, wakati vilabu vya Liga 1 unaona kabisa hata Simba au Yanga wanaweza kuwatoa jasho wale kina Nice,Angers ,hata Cambiasso Cup tuliona Montpele academy walivyochezewa hapa hapa bongo, magoli anayokosa Mbape huwezi kufananisha na Haland jamaa akipiga shuti nyingi ni on target ,wakati huyo lazima apaishe hata akiwa mwenyewe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaangalie stats au uliza ligi ipi Bora utapata jibu!! Haturopoki tunaenda n data
 
Sasa top Scorer hizo chance walikuwa wana create wakina nani? Mnangalia Output tu bila kuangalia build up ya mashambulizi zimeanzia wapi.

Ile PSG niki mchukua Jesus,Hallaand,Lewandoski nk watafunga magoli kuliko huyo Mbape.
Sio top scorer tu na mtu mwenye assist nying ni yeye[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom