Thegreatseeker
JF-Expert Member
- Apr 21, 2022
- 206
- 484
Alafu ukipata muda pitia uangalie video ya hicho kitendo wanachosema Mbappe amempush Messi, watu wanakuza tu ila ilikuw ni accidentally na sio kama wanavyokuza!! Wazungu miyeyusho sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuwa sahihi au ukawa sio sahihiUefa atabeba tena sio moja kuhusu Ballon d'or sina shaka atabeba pia ila Neymar ndio hatakuja beba hiyo tuzo
achana nae huyo. Yaani ile fainali na munich alicheza kama hajui goli lipo wapi. Mbappe uefa cl anaweza asiibebe maisha yake ya soka.Mbape ndiye kaangushwa huyo, karudie kuitizama fainali ya Bayern na PSG UEFA, halafu pata picha kwa timu ile Messi angekuwepo fainali na PSG angefanya nini.
Mbape utoto mwingi sana, kuna Hallaand mtoto mdogo ila maturity yake ni kubwa.
PSG unaifananisha na Man city? Mbape ana mbio tu na kupaisha mipiraHaaland hawezi kumzidi wala kumkaribia uwezo Mbappe maisha
Ni kweli dogo hamumpend ila dogo anajua kwa umri wa dogo na vitu anafanya ni vikubwa
Ameshafunga kwenye mechi kubwa tu za uefa akiweka hat trick Camp Nou dhidi ya Barcelona
Akifunga bao dhidi ya Madrid Santiago Bernabeu huku akiwapiga pia pale Parc des princes utakuwa wa ajabu sana talent kama hii kuifananisha na Haaland mchezaji wa timu ndogo tu
Nilichogundua unaropoka hauna data yoyotePSG unaifananisha na Man city? Mbape ana mbio tu na kupaisha mipira
Wewe unaangalia muda ila sio uwezo. Kaa ukijua akina Zanetti wamepiga mpira umri zaidi ya Messi na UEFA wakabeba,huku Zanetti akiwa team kepteni.Messi na Neymar muda wao umeshapita tayr
Wanasahau figisu alizokuwa anafanya messi kwa akina ibramovich
Si mpendi nini ile timu ya PSG au Ufaransa ukimtoa Mbape na kumweka Hallaand,Hallaand atafunga goli nyingi kuliko Mbape.Haaland hawezi kumzidi wala kumkaribia uwezo Mbappe maisha
Ni kweli dogo hamumpend ila dogo anajua kwa umri wa dogo na vitu anafanya ni vikubwa
Ameshafunga kwenye mechi kubwa tu za uefa akiweka hat trick Camp Nou dhidi ya Barcelona
Akifunga bao dhidi ya Madrid Santiago Bernabeu huku akiwapiga pia pale Parc des princes utakuwa wa ajabu sana talent kama hii kuifananisha na Haaland mchezaji wa timu ndogo tu
Ukitaka kujua hilo kaangalie tangu Neymar na Messi wameingia PSG top scorer alikuwa nani n mara ngapi na nani kati yao ana magoli mengi PSGWewe unaangalia muda ila sio uwezo. Kaa ukijua akina Zanetti wamepiga mpira umri zaidi ya Messi na UEFA wakabeba,huku Zanetti akiwa team kepteni.
Hacha fact za kitotoSi mpendi nini ile timu ya PSG au Ufaransa ukimtoa Mbape na kumweka Hallaand,Hallaand atafunga goli nyingi kuliko Mbape.
Ufaransa na PSG kuna talent kibao, huwezi fananisha na Dortmund aliyo tokea Hallaand na still bado alikuwa anafunga sana.
Hata mimi pale PSG nikisimama namba 9 sikosi goli 25 msimu mzima,wapishi wa magoli wapo kibao, ukirudi Ufaransa mafundi kibao.
mi naona nabishana tu na shabiki oya oyaNilichogundua unaropoka hauna data yoyote
Kaangalie msimu ulioisha nani alikuwa na magoli mengi pamoja na assist
Sasa top Scorer hizo chance walikuwa wana create wakina nani? Mnangalia Output tu bila kuangalia build up ya mashambulizi zimeanzia wapi.Ukitaka kujua hilo kaangalie tangu Neymar na Messi wameingia PSG top scorer alikuwa nani n mara ngapi na nani kati yao ana magoli mengi PSG
Muda so mrefu anaenda kuanaguja huu ndo mwanzo wa anguko lake wala hatotoboa miaka 27 akiwa kwenye peak kifupi huu ndo mwanzo wa mwisho kama unabisha mifano iko wazi kwa wachezaji wote wa aina yakeMbappe ameongezeka jeuri baada ya kupewa mkataba mpya na PSG unaomfanya achukue karibia £ 1 million kwa wiki ukijumlisha na picha za matangazo yake, pamoja na umri wake unamfanya ashindwe kujisimamia.
jamaa anafananisha bundasliga na Liga 1, wakati vilabu vya Liga 1 unaona kabisa hata Simba au Yanga wanaweza kuwatoa jasho wale kina Nice,Angers ,hata Cambiasso Cup tuliona Montpele academy walivyochezewa hapa hapa bongo, magoli anayokosa Mbape huwezi kufananisha na Haland jamaa akipiga shuti nyingi ni on target ,wakati huyo lazima apaishe hata akiwa mwenyeweSi mpendi nini ile timu ya PSG au Ufaransa ukimtoa Mbape na kumweka Hallaand,Hallaand atafunga goli nyingi kuliko Mbape.
Ufaransa na PSG kuna talent kibao, huwezi fananisha na Dortmund aliyo tokea Hallaand na still bado alikuwa anafunga sana.
Hata mimi pale PSG nikisimama namba 9 sikosi goli 25 msimu mzima,wapishi wa magoli wapo kibao, ukirudi Ufaransa mafundi kibao.
[emoji23][emoji23][emoji23]Akili mtu wangumi naona nabishana tu na shabiki oya oya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kaangalie stats au uliza ligi ipi Bora utapata jibu!! Haturopoki tunaenda n datajamaa anafananisha bundasliga na Liga 1, wakati vilabu vya Liga 1 unaona kabisa hata Simba au Yanga wanaweza kuwatoa jasho wale kina Nice,Angers ,hata Cambiasso Cup tuliona Montpele academy walivyochezewa hapa hapa bongo, magoli anayokosa Mbape huwezi kufananisha na Haland jamaa akipiga shuti nyingi ni on target ,wakati huyo lazima apaishe hata akiwa mwenyewe
tatizo huna[emoji23][emoji23][emoji23]Akili mtu wangu
Sio top scorer tu na mtu mwenye assist nying ni yeye[emoji23][emoji23]Sasa top Scorer hizo chance walikuwa wana create wakina nani? Mnangalia Output tu bila kuangalia build up ya mashambulizi zimeanzia wapi.
Ile PSG niki mchukua Jesus,Hallaand,Lewandoski nk watafunga magoli kuliko huyo Mbape.
Sawa Geniustatizo huna
Mkitumia kigezo cha ballon dor kusema mchezaji flani ni bora, kwahyo mnataka kuniambia Messi ni bora kuliko Ronaldinho, Maladona, Ronaldo dilma, Pelle, galincha, Zidane!?